Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?

Koma we ww n dini gan?unaweza kuongelea kitu ambacho huna taaluma nacho?mapenzi yenu ya siasa chafu yasikupeleke kuongelea dini za wengne ambazo huzijui

Muhamedi siyo mwokozi, bali Yesu Kristo Ndiye.

Usipoteze muda kwa siasa za imani. Muda umekwisha. Yesu atakaye wahukumu walio hai na wafu anarudi upesi.
Ninakupenda ndugu yangu. acha siasa katika Roho yako ambayo ni mali ya Mungu. Twende mbinguni mwana wa Mungu kwa kumwamini Yesu Kristo na kumfanya awe Bwana na Mwokozi wako ambaye ndiye njia kweli na uzima. Mtu haendi Mbinguni ila kwa njia ya Yesu Kristo.

Hakufanya dhambi, aliishi maisha matakatifu lakini alifanyika dhambi, akauawa kifo cha aibu cha msalabani kwa niaba yetu mimi na wewe ili tukimpokea na kumwamini tusihukumiwe. Kwa damu aliyomwaga msalabani, mateso aliyoyachukua, dhihaka, dharau na maumivu makali aliyopitia katika safari ya msalabani ilikuwa analipa gharama ya dhambi zetu. Alijitolea kuteseka yeye ili sisi tupone. Alikufa akazikwa na alifufuka na kupaa mbinguni. Kutoka huko atarudi tena duniani. Kila jicho litamwona.

Twende pamoja mtu wa Mungu. Mungu anatupenda na bado anatuita.

.https://youtu.be/ZcQrhECSMio
 
Acha ujinga wewe? Hayobaliyouasema gwajima unaona Yana uhalali katika auala Hilo au na wewe umejaa mahaba kwa gwajima?

Ninamhubiri Kristo kwamba ni mwokozi wa Ullimwengu. Alikuja duniani kwa kuwaokoa wanadamu wakiwemo wafuasi wa muhamed. Muhamedi siyo mwokozi. Hata yeye anajua kwamba hana uwezo huo diyo sababu hajawahi kusema anaokoa. Hana pa kupeleka roho za wafu lakini Yesu Krsito Ndiye. Yeye ni njia kweli na uzima. Mtu haendi Mbinguni ila kwa njia ya Yesu Kristo.

Wengine wote ni wezi na wanyang'anyi.
 
Yesu unamtambua we na ujinga wako
 
Pornstar gwajima Nia yake lazima aitimize, piga kelele kwa gwajima
 
Chukulia una miaka labda 35+ yaan Sio kijana.

Labda Umeoa, una watoto n.k


Ivi alimla Mwanakondoo lini????.


Ndo utajua kua Hujui , na kama umeweza kua Kipofu wa kufumbia upumbavu wa Gwajiboy, Basi Mkeo ni anakuvumilia kwa mengi sanaaaa.
 
Kumekuchaaa, wasukuma tuungane...
Simoooooooo...🏃‍♂️

Nafikiri CCM kwa makusudi hawalitaki jimbo la Kawe. Haya ni maamuzi wengi hatukuyatarajia.

Everyday is Saturday... 😎
Huu wakati wetu wasukuma tufanye kweli
 
Kwa ufupi sana Gwajima ni Msukuma na Magufuli msukukuma. Atakwenda kuhubiri siasa kanisani kinyume na sheria. Amewekwa kwa kazi maalum akifika bungeni.
Nayo ni kuendesha kampeni ya Magufuli for life.
Na kuendeleza udini unaokubuhu awamu hii.
Kitu kimoja mshicho elewa na kufahamu ni kuwa mwaka huu hakuna uchaguzi. Gwajima hawezi kushinda uchaguzi Kawe ila atatangazwa amwahinda kama watavo tangazwa wameshinda wagombea wote wa ccm nchi nzima.
Wameweka wakurugenzi maalum na wengine wapya wanaendelea kuteuliwa ili kukamilisha zoezi.
Wapinzani hawafahamu kuwa mara hii hawapati hata kiti kimoja ingawa watashinda
 
Huyu Porn Star pia aliwazalilisha wakatoliki wote kwa kuutangazia umma kuwa Kadinali Pengo amevimbiwa baada ya kula maharage yaliyooza na kutoa hewa chafu-chafu madhabahuni.
 
Chukulia una miaka labda 35+ yaan Sio kijana.

Labda Umeoa, una watoto n.k

Ivi alimla Mwanakondoo lini????.


Ndo utajua kua Hujui , na kama umeweza kua Kipofu wa kufumbia upumbavu wa Gwajiboy, Basi Mkeo ni anakuvumilia kwa mengi sanaaaa.
😂😂
Kwa hiyo shemeji yangu alimegwa siyo? Mbona unahasira na Mimi kana Kwamba nilimmega Mimi?
Kuwa na adabu buana!

Maoni yako ni ya kijinga mno mkuu!!
 
Huyo
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi ni muislamu sitamchagua gwajima sababu simpendi lakini mtoa Mara kwa hoja alizozileta na namna alivyozileta yeye na gwajima wote hawajielewi.
 
Kafiri katika ubora wako ha ha ha lol.
 
Wote nyie ni wale wale! Mnataka kura za Waislam kwa maslahi yenu. Waislam sio kondoo wanajitambua!
usijidanganye waislam wana msimo thabit. kumbukumbu za gwajima kuwatukana waislam zipo. halima mdee akijikita hapo huyo mtu hapati kura za waislam
 
Ungejaribu kuficha ujinga wako "nyinyi mna Dini yenu na sisi tuna Dini yetu" ni vitu viwili tofauti alafu unataka uonyeshwe comparison una akili kweli wewe?
Ni wapi Mohamed alimtokea mtu akamsaidia?

Angalia kazi za Yesu zinavyomthibitisha kuwa ni mkuu.


Weka na wewe hapa nani alishawahi kuponywa na Mohamed.
 
hicho kijeba nikihuni kama wahuni wengine tu.
 
Yesu unamtambua we na ujinga wako
Hata lugha yako inadhihirisha namna gani umejaa mashetani. Acha kuabudu shetani wewe anakupoteza. Hana cha kukupa zaidi ya stress hizo za kumlinda kwa mapanga na matusi. Unaona hapa unavyomlinda mungu wako ambaye ni shetani kwa matusi?

Look here, uone unavyotetea shetani.

 
Kafiri katika ubora wako ha ha ha lol.

Ebu angalia shetani unayemwabudu na kumlinda kwa mapanga na matusi. Utanikumbuka siku siyo nyingi. Tubu dhambi uachane na hayo mashetani yasiyokusaidia kitu!.


Angali wenzako waliopata neema ya kujitambua na kukimbia. Lakini wewe kwa kukos amaarifa unashikilia matusi na mapanga eti kumtukania mungu. Kama huyo unayemwabudu ni Mungu, kwa nini hana hata uwezo wa kujitetea hadi umlinde kwa matusi na mapanga?

 
Umekosea sana kujaribu kuingiza udini kama=tika siasa.
Misikiti ati kugeuzwa kuwa sunday school ni fikra ya kutaka kuleta chaos ndani ya jamii, wakati unajua hilo halitawezekana .
Kila mtu ana haki ya kuabudu ndani ya Jamhuri, mawazo hasi kama haya hayajengi, hata kama unatofautiana naGwajima.
 
Ungejaribu kuficha ujinga wako "nyinyi mna Dini yenu na sisi tuna Dini yetu" ni vitu viwili tofauti alafu unataka uonyeshwe comparison una akili kweli wewe?


Ninaelewa kwamba wewe unaabudu mashetani. Ninakushauri uachane na mashetani umwabudu Mungu. Shetani hana karama njema. Mwisho wake ni kukuua. Unafanya kazi ngumu sana kulinda shetani. Najaribu kukufungua macho uone namna gani shetani unayemwabudu hana msaada kwako. Nidyo maana ukipata tatizo unakimbilia kwa waganga, kupiga ramli, na majini. Hakuna siku utataua kitu chochote kwa nguvu ya muhamed. Hana faida kwako.

Nakuambia mwamini Yesu Kristo ambaye pamoja na kukusaidia katika maisha yako ya hapa duniani, pia anakupeleka Mbinguni baada ya kufa. Mohamed anakupeleka kuzimu, motoni.

Ninajua huna elimu yoyote, lakini unapumzi ya Mungu na ufahamu aliokupa wa kutambua mema na mabaya. Tumia hiyo ukimbie hukumu ya Mungu. Acha kuabudu mashetani.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…