Je, wakati umefika wa Misikiti kugeuzwa Sunday-school na Gwajima?


 
Kweli kabisa huyu jamaa ni jipu
 
Ongelea Black Black live Matters mbona mnaua wakristo weusi
Kitu kizuri shirikiana na uwapendao. ata hii ya kwako ni hoja nzuri lakini sijapanga kuingelea hapa. Sasa tunashughulikia na dini ya shetani, kuwapa watu maarifa wakimbilie kwa Mungu. Mengine yatafuata.

Angalia hapa.


Mohamed aliwahi kufanya lini na wapi mambo mazito kama haya?

Hakuna Mungu kama Mungu YAHWEH. Peke yake ndiye anastahili kuabudiwa na kuheshimiwa. Yeye asiyetutoa kuwa mawindo ya shetani ambaye hahitaji kulindwa kwa mapanga na matusi.

Wanapofunguliwa wengine, naomba na hawa wa hapa jamii forum wajifunze na kukubali kwamba wanachokitetea sicho.


 
Misikiti kugeuzwa Sunday-school

Uzi unachochea chuki za kidini huu na kutaka kuigawa Tanzania yetu pendwa.
Ni uzi unaochochea au ni Gwajima ndiye aliyechochea?

Kauli zile za hovyo za Gwajima, ina maana zimeifurahisha sana KAMATI KUU YA CCM kiasi cha kuona huyo bwana anafaa kuliko woye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale walioteuliwa huko CCM naona kama Gwajima ndiye kiongozi anayeogopwa kuliko wooote kwani naona posti nyingi sasa zina muhusu.
watu wanatumia nguvu kubwa sana kutafuta udhaifu wake na wengine hata kuleta ushawishi wa KIDINI ambao hauna Afya kwa taifa.
Naomba tushabikie Vyama ila MAMBO YA DINI TUSIYAINGIZE HUKU
 
Maadamu alitamka mwenyewe na wala hajawahi kuyakana, sisi hapa tutayajadili na kuyaweka wazi zaidi yaliyomo ndani ya moyo wake na kuona credilibilty yake
 
Yaan Hapo hakuna suala la dini wala nn
Suala ni kwamba amepitia ticket ya ccm na ccm sahv ina nguvu
Lazima apite 💪💪
 
Yeye mwenyewe ushahidi wa video na picha huuoni? Ukabila yeye , udini yeye , umadhehebu yeye , uropokaji yeye ,utapeli wa kiimani yeye ,ujasilia dini yeye , utafunaji Kondoo wake bwana yeye , uchezaji sinema za utupu yeye , aiseee
 
Sijui kama wote wanaojadiri issue ya huyu ndg Josephat kuwa ataondoa vituo vyote vya kufundishia watoto imani ya dini ya waislam wanaelewa au ni mijadara yenye lengo la kupoteza muda.

Ninavyofahamu ni kuwa mbunge hana mamlaka yoyote ya kuamua jambo lolote yeye kama yeye isipokuwa jambo hilo liwe limetoka kwa wananchi ambao mpaka mbunge amelichukua limepita ngazi zote za chini.

Kinachofuata ni mchakato wa kulipeleka ofisi au taasisi husika ili nao wao watoe maoni yao kwamba kituo/vituo vyao vinatakiwa kuondolewa kisheria na bunge linaenda kupitia hiyo ajenda.

Baadaye Rais wa jamhuri anatia saini kuweka muhuri kuzuia hizo kitu, so kama ni mawazo ya jf kwa wasio elewa itakuwa sawa ila kama ni kampeni dhidi ya gwajiboy mnafail sana, haina mashiko hiyo.

Karibuni kwa mjadara.
 
Ukiona thread nyingi ujue ni potential, angelikua goigoi usingeliona mashambulizi kwake
 

Hapo akiwa na Mwanakondoo akilainisha vyuma.

Ila kucheki video ya mtumishi akipizi huku alibana vile vimatako kama ngumi sio poa wazeiya.
 
HIYO HEADING YAKO INAUPOTOSHAJI MKUBWA!!!
Tangia lini mbunge akawa na madaraka ya kubadilisha mfumo wa dini katika Wilaya/Nchi ya Kidemokrasia?
USIONE WATANZANIA WOTE NI MBUMBUMBU kama wewe. Usilete ushabiki wa siasa wa kuchonganisha watu kwa Imani za DINI
 
Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 


Gwajima hatapita Mkuu unapoteza muda wako.

Mkuu, ngoja uone itakavyokuwa,

Maneno ya Gwajima hayakuwa ya kisiasa, yalikuwa ya kidini, takibaguzi.

Kwenye dini adui yupo wa kudumu.

Shetani ni shetani, shetani ni adui wakudumu
Gwajima kwa kauli zake za kishetani hawezi akapita Taikon ningalipo, kama Mungu aishivyo.

Utaona, kama huniamini subiri wakati utakuaminisha
 


Yeye ndio ungemuuliza maana sio maneno yangu? Mimi nilichouliza ni suala la muda wa hiyo misikiti kugeuzwa sunday school?

Huelewi nini hapo?
 
Yeye ndio ungemuuliza maana sio maneno yangu? Mimi nilichouliza ni suala la muda wa hiyo misikiti kugeuzwa sunday school?

Huelewi nini hapo?

Post yako ina ukakasi sawa na kuwa kumbusha watu matapishi ya mtu flani; kuwa alikuwa amekula chakula gani? Think before you post!!!
"Kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…