Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Hao wajinga walikuwa na baraka za vyombo vya usalama kufanya hayo madudu, Sasa wewe raia utashindana vipi na Dola huku huna silaha. Ilo tukio la Jana ni la kishamba mno, mbona enzi za kikwete hakukuwa na ushamba wa hivo
Aiseee!