bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,020
Hata ule uvamizi wa Clouds uliasisiwa jumba kuuUsisahau hii ni awamu ya washamba!
Alisikika Nape.
Hata ule uvamizi wa Clouds uliasisiwa jumba kuuUsisahau hii ni awamu ya washamba!
Alisikika Nape.
Hyo title yako tu ilivo uko kiushabiki maandazi kabisa.
Una hoja kuntu, lakini sentensi zako hizo mbili "zimenivuruga"! Unawezaje kuzuia matumizi ya lugha za kuudhi kwa kutumia lugha hiyo hiyo ya kuudhi!? Au umetumia kanuni ya " dawa ya moto ni moto"!?
INAWEZEKANA KWASABABU SITAKI KUAMINI ETI KUNA KIJANA WA HAI ATAACHA KWENDA KUTAFUTA SHUGHULI YA MAANA YA KUMUINGIZIA PESA NA KWENDA KUSUBIRI MSAFARA WA LISU ARUSHE MAWE.Kwa hiyo uongozi wa sasa wa wilaya hiyo umedhamiria kufanya vijana wa hai kuonekana ni mazwazwa?
Ninachopinga ni wewe kusema watu hawakukusanyika mwanza lissu alipoenda lissu hakwenda mwanza elewa hilo lissu alipitia mwanza hio ndo hoja yangu so kupotosha watu hawakwenda lissu alipoenda mwanza nakufananisha na hao vibaka ambao tumewastahi tu maana walikua hawafiki hata hamsin so tungeamua saivi wote wangewa marehemuHapo usagara walifanya fujo?
Point yangu umeielewa lakini?
Nashukuru kwa marekebisho
Elewa andiko linasemaje, kwani Usagara na Kisesa haziko Mwanza? Je huko Hai ambako msafara wake ulishambuliwa ulikuwa umesimama au unatembea?ROBERT HERIEL,
Usipotoshe lissu hakufika mwanza ilipitia njia ya usagara kwenda kisesa had lamadi na hata hapo usagara hakusimama sasa unapoanza kupotosha nakuona huna tofaut na hao washenzi wa sabaya na hao police uchwara.
Mdada unasahau tu. Zamani Tanzania kwa ujasiri tulizikemea mataifa na viongozi ma dictator pote ulimwenguni . Leo ni sisi tunanyoshewa vidole na hatuwezi kumkemea mtu au taifa lolote.Aibu Sana Raisi apige marufuku Hawa wateule wake wanamzalilisha Sana kuanzia kamati ya ulinzi mkoa, iwajibishe Tanzania ni yetu sote Sasa huo upuuzi aibu naona Mimi.
Very shame act wallah, Tanzania hakukuwa na hizi tabia zaidi ya kusoma interahamwe Sasa imehamia kwetu, hii tabia ikikomaa itakula kwa wote
Kwa siasa za kishenzi za nchi hii mbona huo uhuni haishangazi kabisa Kama watu wanapotea kisa kutofautiana itikadi kwanini ushangae Hilo tukio?K wa uelewa wako upo sahihi kabisa,
Mimi sio shabiki wa kikundi, chama, timu, dini, mtu. mimi ni mshabiki wa matendo ya haki. Hilo tuu
Tanzania ya enzi ya Nyerere tuliheshimika Sana hata uongozi ulikuwa na uvumilivu but nowdays tumepoteza ushawishi huko nje na hata ndani. Shida Kuna watu wanafanya Mambo ya kijima Hadi unashangaaMdada unasahau tu. Zamani Tanzania kwa ujasiri tulizikemea mataifa na viongozi ma dictator pote ulimwenguni . Leo ni sisi tunanyoshewa vidole na hatuwezi kumkemea mtu au taifa lolote.
Mambo haya ya kipuuzi ni kwa sababu wanaotuongoza hawana vision. Wamekariri uzalendo uchwara usio na uhalisia.