Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Madirisha yake ayafungukiView attachment 3459127
Mabasi ya sasa.
View attachment 3459132
Hali ya usafiri wa mbagala.
Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini.
Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?