Je, wakazi wa Mbagala wataweza kutunza mabasi ya mwendokasi yenye viyoyozi na WiFi?

Je, wakazi wa Mbagala wataweza kutunza mabasi ya mwendokasi yenye viyoyozi na WiFi?

Imedhihirika sisi wakazi wa Mbagala ni wastaarabu kuliko wa Kimara.
kule kimara kichwani hamna kitu kabisa, sasa watu wanapiga kiberiti mwendokasi wataweza mambo ya ustaarabu
 
Hii nchi ina upumbavy mwingi sana. Sio boda tu. Bajaj na magari mengi binafsi yanavamia hio njia.
hao ndo wanazingua, ila SACP MULIRO juzi kawapa tangazo
 
View attachment 3459127
Mabasi ya sasa.

View attachment 3459132
Hali ya usafiri wa mbagala.

Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini.
Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?
kama wanaweza kunya kwenye masinki ya kunawia kule uwanja wa taifa watawezaje kutunza vitu vya watu wenye akili na walioendelea? wapeni miezi minne tu mtakuja kuniambia.
 
Back
Top Bottom