Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Hutak ulinzi mkuuNiko hapa Kitengule hospital, Wanajeshi wanaingia hadi Compound za hospital kukagua watu, huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Matako yenu
Wakiamua inawezekana. Wakaandamana siku 365 bila kikomo ikawa D9+365Hakuna ki2 km hcho watakula nn?
Haya hayana kikomoKama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate wanachotaka, hali itakuwaje? Je nchi itasimama kwa siku 365, siku 730,siku 1095,siku 1460 bila kufanyika chochote?
Sio poa itakuwa balaaKama wakiamua kuubadilisha mbinu hii D9 ikawa D9+365 hali itakuwaje?
Mkuu kuna maandamano sehemu yoyoteleo?Haya hayana kikomo
Duh! Ni hatari mnoNiko hapa Kitengule hospital, Wanajeshi wanaingia hadi Compound za hospital kukagua watu, huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Matako yenu
Kwa vile yatafanyikia mtandaoni basi hakuna shida na waendelee tu!!Kama wakiamua kuubadilisha mbinu hii D9 ikawa D9+365 hali itakuwaje?
Mimi kwa sasa ni mtu mzima sana ila nakiri wazi hawa watoto wa 2000 GenZ nimewaogopa. Hawaogopi kufa, wanauwawa na hawaogopi. Kama wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano hii d9 wakarefusha kuwa D9+365. wakiandamana mwaka muzima nchi ikisimana hali ya kiuchumi ikiwa mbaya serikali itakosa matrilioni wanayowapa wanajeshi, labda wanajeshi wakipigwa njaa kali wataamua kutoa ccm madarakaniHali ya uchumi kwa taifa itakua mbaya
Wanasubiri watu wakianza kwenda makazini kwao nao wanatoka. Wasipoenda ina maana hakuna shughuli ya kiuchumi itafanyikaMkuu kuna maandamano sehemu yoyoteleo?
Acha kuwaponza vijana kwa kuwapa sifa ambazo hawana.Hawaogopi kufa, wanauwawa na hawaogopi. Kama wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano hii d9 wakarefusha kuwa D9+365.
Kama ni ya mitandaoni kwa nini nchi nzima imefungiwa ndani. Kama wakisema D9+365 mitandaoni maana yake nchi itafungiwa ndani mwaka mzima?Kwa vile yatafanyikia mtandaoni basi hakuna shida na waendelee tu!!