Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
- Thread starter
-
- #21
Hata kama maandamano yakawa ya mwaka mzima D9+365. Nchi nzima itafungiwa ndani kwa mwaka mzima?Hali itakua hivihivi hakuna kucheka na nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu, amani italindwa kwa gharama yoyote.
Je wewe unaonaje? Kama hawa watoto wakiamua kurefusha maandamano yakawa ya mwaka mzima wakaita D9+365 maana yake nchi itafungiwa ndani mwaka mzima?Acha kuwaponza vijana kwa kuwapa sifa ambazo hawana.
Je hao wakiamua kurefusha maandamano yakawa D9+365 maana yake watu watafungiwa ndani mwaka mzima?Kinachofelisha hapa maanadamano kuwa siku ya mapumziko ila yakifanyika siku ya kazi ujumbe utafika ila yasiwe na vujo tu
Kwa hiyo wakiamua kurefusha maandamano yakawa D9+365, nchi nzima itafungiwa ndani mwaka mzima. Au D9+infinity, D9+unlimited D9bilakikomo maana nchi itasimama bila kikomo?Haya hayana kikomo
Mbona mtaani watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida!!Kama ni ya mitandaoni kwa nini nchi nzima imefungiwa ndani. Kama wakisema D9+365 mitandaoni maana yake nchi itafungiwa ndani mwaka mzima?
Nawaza kama hao vijana wakiamua kurefusha maandamano yakawa ya mwaka mzima au miaka 2 hali itakuwaje?Unaleta habari za Nimrodi.
Wafanye kama muda na resources wanazo.
Kama wanakula nyasi mwaka mzima na kama serikali haipo tayari kupambana nao kwa gharama yoyote.Je wewe unaonaje? Kama hawa watoto wakiamua kurefusha maandamano yakawa ya mwaka mzima wakaita D9+365 maana yake nchi itafungiwa ndani mwaka mzima?
Duh! Kwa hiyo serikali itafungiw watu ndani hata miaka miwili. Je serikali itatoa wapi mapata ya kujiendesha kwa miaka miwili? Mishahara ya maaskari na posho zao zitatoka wapi ili waendelee na kazi ya kuzui maandamano? Mafuta ya magari kwa ajili ya kuzuia maandamano yatanunuliwa kwa pesa ipi?Kama wanakula nyasi mwaka mzima na kama serikali haipo tayari kupambana nao kwa gharama yoyote.
Hii ndoto yako inaweza kutimia.
Majibu ya haya maswali utayapata mkishatangaza na kuanza kufanya huu ujuha unaouhubiri.Duh! Kwa hiyo serikali itafungiw watu ndani hata miaka miwili. Je serikali itatoa wapi mapata ya kujiendesha kwa miaka miwili? Mishahara ya maaskari na posho zao zitatoka wapi ili waendelee na kazi ya kuzui maandamano? Mafuta ya magari kwa ajili ya kuzuia maandamano yatanunuliwa kwa pesa ipi?
Watachemka watawalaJe hao wakiamua kurefusha maandamano yakawa D9+365 maana yake watu watafungiwa ndani mwaka mzima?
Kinachofelisha hapa maanadamano kuwa siku ya mapumziko ila yakifanyika siku ya kazi ujumbe utafika ila yasiwe na vujo tu
Duh! Mtafungia watu mwaka mzima ndani ya nyumba zao? Hata miaka mitatu ndani ya nyumba?Majibu ya haya maswali utayapata mkishatangaza na kuanza kufanya huu ujuha unaouhubiri.
Sure! Na sikukuu zote, hii miaka mitano itakuwa sio tulivu kama mambo ayatoenda vizuriKuna uwezekano Christmass watu wasisherehekee kukawa na carfew
Kwa hiyo wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano yakawa ya mwaka mzima watu watafungiwa ndani mwaka mzima? Kama ni miaka miwili au mitatu watu watafungiwa ndani miaka mitatu?Mtakula majani kama mbuzi
Wakitaka hivyo, itakuwa hivyo!Duh! Mtafungia watu mwaka mzima ndani ya nyumba zao? Hata miaka mitatu ndani ya nyumba?
Kwa hiyo wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano yakawa ya mwaka mzima watu watafungiwa ndani mwaka mzima? Kama ni miaka miwili au mitatu watu watafungiwa ndani miaka mitatu?Mtakula majani kama mbuzi
Nchi ikisimana kwa mwaka mzima au miaka miwili hata wewe chawa posho zenu za laki tisa kwa siku hazitapatikana.Wakitaka hivyo, itakuwa hivyo!