π π π β£οΈMm piaaa aise uyu mwamba ntammis san dadek
Wanaume watakuwa kwa zaidi ya 95%ile ni safu ya ulinzi ya marais......wameandaliwa haswa.....na ni waajiriwa wa vikosi vya ulinzi....so wapo na watakuwepo kazini......ila sbb Mkuu ni Mama yetu....sehemu kubwa watakuwa ni jinsia KE......pia sura za ME zitakuwepo as back-up.....timu mpya kabisa......
Nadhani wao ndio watakuwa wenye majukumu makubwa zaidifor sure,, as back up.... na kuimarisha ulinzi....
KandaTena huko ndiko wamejazana sana kama wale wa Task Force yao na wale waliopo katika Ofisi yao Mkabala na Stesheni.
Mawazo ya ki mihadarati hayaa..Usha push mkuu?mbon umewaza kipumbavu sana?Wale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.
Inawezekana ikawa kweli na naweza nikakubaliana na wewe, TISS ni kila kitu na hawa wanajua vini kuliko wengine, mana kila kona wapo jeshini, polisi, manesi, madaktari, madereva daladala, wauza kahawa nk, ivo kuna vitu TISS wanajua kabla hata ya jeshi. Sijui ni fikira zangu tu na maono yangu, naweza kosorolewa ama rekebishwa nilipokoseaWanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Nadhani hivi viteng vinategemeana kabisa ktk utendaji, TISS ina idara kama sikosei linapokuja swala la ugonjwa lzm kuna idara ya wabobezi ambao ndo madaktari, swala ua ulinzi na kadharika lzm JWTZ, Polisi, Magereza, Uhamiaji nk wahusishwe, kuna mainforma hapa sasa ndo kuna kina kadharika, madereva, bodaboda, wavuta bangi, walevi nk. TISS wapo mpaka jeshini bila wao kujua sasa sijui mkbwa nani naomba kujuzwa hapo tafadhaliKWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS π³π³π³π³π³π³π³ NGOJA NIISHIE HAPA
Mkuu huyu ndio kwa ni serengeti au??Upo sahihi anaitwa AGUSTINO MASESE
Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni mmoja tu kama sikosei mkuu.KWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS π³π³π³π³π³π³π³ NGOJA NIISHIE HAPA
Ahsante Kwa kunijuza maanake awaonekani kabisa, kama mmoja alikuwa na kikwete bonge hivi sijawahi kumuona tena, ina maana ni sheria waingie chimbo ama.Mara nyingi hupelekwa kuwa RSO's au DSO's au Wakuu wa Idara au hata kuwa Wakufunzi au hutupwa pia kuwa tu Wasimamizi wa Ikulu ndogo za Mikoani na hukaa huko huko tu.
Mbona wanasema nae kaungana na Boss wake huko kwa Mawingu
Wote walimkimbia mambo yalivyokua magumu hakubaki hata mmojaWale walinzi wa kike wa Gaddafi ni makomandoo hasa...
Mkuu Vipi kuhusu yule mwambata wa raisi, atabadilishwa?yes, but one issue ni Mheshimiwa anayo mamlaka ya kuteua...as Amiri Jeshi Mkuu....kama mwanamke kuna mambo mengi ya kujisitiri.....ila men guards watakuwa wengi....
Mbona ameshaletewa mpambe mmama tayari ambae ni mpambe wake mwenye cheo cha kanaliMkuu Vipi kuhusu yule mwambata wa raisi, atabadilishwa?
Maana yule raisi hajichagulii hupangiwa (anakuwa ana cheo flani kikubwa sina hakika kama ni kanali au lut kanali) , vipi kuna wanawake wenye cheo hicho katika jeshi letu?
Alivyotoka kukagua gwaride akatoka na ADC mpya nyuma yake ni kanali wanawake mpka brigedia gen wapoMkuu Vipi kuhusu yule mwambata wa raisi, atabadilishwa?
Maana yule raisi hajichagulii hupangiwa (anakuwa ana cheo flani kikubwa sina hakika kama ni kanali au lut kanali) , vipi kuna wanawake wenye cheo hicho katika jeshi letu?
Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.
Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.