Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

ile ni safu ya ulinzi ya marais......wameandaliwa haswa.....na ni waajiriwa wa vikosi vya ulinzi....so wapo na watakuwepo kazini......ila sbb Mkuu ni Mama yetu....sehemu kubwa watakuwa ni jinsia KE......pia sura za ME zitakuwepo as back-up.....timu mpya kabisa......
 
Kumbe kuna watu humu akili zao ni mfu mnoo heheee...!!! Kwataarifa yenu wale ni wanajeshi mazee somkae kwa kutulia wana rudikambini kama kawa yani wameajiriwa na serikali hao siokama hawa ma baunsa nyama za sambusa wa wasanii wenu akina harmonenga [emoji706]
 
ile ni safu ya ulinzi ya marais......wameandaliwa haswa.....na ni waajiriwa wa vikosi vya ulinzi....so wapo na watakuwepo kazini......ila sbb Mkuu ni Mama yetu....sehemu kubwa watakuwa ni jinsia KE......pia sura za ME zitakuwepo as back-up.....timu mpya kabisa......
Wanaume watakuwa kwa zaidi ya 95%
 
Nadhani hata wakati wa maadhimisho ya zile sikukuu za mashujaa na uhuru huwa jamaa wakifanya yao baada ya majeshi kutoka uwanjani na kuwaachia wao uwanja utasikia msemajiwa jeshi akitoa sifa zao kuwa hao ndo wahusika wa VIP Protection, Kuokoa sehemu ambazo majeshi yameshindwa wao ndo wanakwenda kifupi hakuna cha kuwashinda. Ila nahisi wakitolewa kule huwa lzm wapelekwe kwemye mafunzo zaidi ya VIP mana akili zao huwa zinakua kidogo, ndo wakitoka huko sasa hata ukikutana nae mtaani unaona mtu kabisa hat akuongea kwake ni kwa mpangilio, hata unywaji wake sio ule wa pipipipipi. Usiombe ukutane nao wakiwa ktk majukumu yao, unanyoosha nawe mkono umpe Mhe, ukisukumwa mkono unaweza kupararaizi kabisa
 
Wale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.
Mawazo ya ki mihadarati hayaa..Usha push mkuu?mbon umewaza kipumbavu sana?
 
Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Inawezekana ikawa kweli na naweza nikakubaliana na wewe, TISS ni kila kitu na hawa wanajua vini kuliko wengine, mana kila kona wapo jeshini, polisi, manesi, madaktari, madereva daladala, wauza kahawa nk, ivo kuna vitu TISS wanajua kabla hata ya jeshi. Sijui ni fikira zangu tu na maono yangu, naweza kosorolewa ama rekebishwa nilipokosea
 
KWA HIYO JWTZ IPO CHINI YA TISS 😳😳😳😳😳😳😳 NGOJA NIISHIE HAPA
Nadhani hivi viteng vinategemeana kabisa ktk utendaji, TISS ina idara kama sikosei linapokuja swala la ugonjwa lzm kuna idara ya wabobezi ambao ndo madaktari, swala ua ulinzi na kadharika lzm JWTZ, Polisi, Magereza, Uhamiaji nk wahusishwe, kuna mainforma hapa sasa ndo kuna kina kadharika, madereva, bodaboda, wavuta bangi, walevi nk. TISS wapo mpaka jeshini bila wao kujua sasa sijui mkbwa nani naomba kujuzwa hapo tafadhali
 
Mara nyingi hupelekwa kuwa RSO's au DSO's au Wakuu wa Idara au hata kuwa Wakufunzi au hutupwa pia kuwa tu Wasimamizi wa Ikulu ndogo za Mikoani na hukaa huko huko tu.
Ahsante Kwa kunijuza maanake awaonekani kabisa, kama mmoja alikuwa na kikwete bonge hivi sijawahi kumuona tena, ina maana ni sheria waingie chimbo ama.
 
yes, but one issue ni Mheshimiwa anayo mamlaka ya kuteua...as Amiri Jeshi Mkuu....kama mwanamke kuna mambo mengi ya kujisitiri.....ila men guards watakuwa wengi....
Mkuu Vipi kuhusu yule mwambata wa raisi, atabadilishwa?
Maana yule raisi hajichagulii hupangiwa (anakuwa ana cheo flani kikubwa sina hakika kama ni kanali au lut kanali) , vipi kuna wanawake wenye cheo hicho katika jeshi letu?
 
Mbona ameshaletewa mpambe mmama tayari ambae ni mpambe wake mwenye cheo cha kanali
 
Mkuu Vipi kuhusu yule mwambata wa raisi, atabadilishwa?
Maana yule raisi hajichagulii hupangiwa (anakuwa ana cheo flani kikubwa sina hakika kama ni kanali au lut kanali) , vipi kuna wanawake wenye cheo hicho katika jeshi letu?
Alivyotoka kukagua gwaride akatoka na ADC mpya nyuma yake ni kanali wanawake mpka brigedia gen wapo
 
Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.

Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao anayepanda Ngazi nao Kunenepeana kwa kula Kuku na Mibufee ya maana tu.

Binafsi nitammisi sana tu yule Bonge.
 
yule bonge hata miye nitammis kishezi!
labda sasa hv nitaweza kuiweka picha yake kama profile pic,maana kuna kipindi niliiweka humu mods wakainyofolewa mbali!
 
Back
Top Bottom