Nadhani hata wakati wa maadhimisho ya zile sikukuu za mashujaa na uhuru huwa jamaa wakifanya yao baada ya majeshi kutoka uwanjani na kuwaachia wao uwanja utasikia msemajiwa jeshi akitoa sifa zao kuwa hao ndo wahusika wa VIP Protection, Kuokoa sehemu ambazo majeshi yameshindwa wao ndo wanakwenda kifupi hakuna cha kuwashinda. Ila nahisi wakitolewa kule huwa lzm wapelekwe kwemye mafunzo zaidi ya VIP mana akili zao huwa zinakua kidogo, ndo wakitoka huko sasa hata ukikutana nae mtaani unaona mtu kabisa hat akuongea kwake ni kwa mpangilio, hata unywaji wake sio ule wa pipipipipi. Usiombe ukutane nao wakiwa ktk majukumu yao, unanyoosha nawe mkono umpe Mhe, ukisukumwa mkono unaweza kupararaizi kabisa