Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Yule jamaa mrefu mweusi ambaye movement zake ni smart sana wala hana mbwembwe kama bonge ni huyu mwenye miwani hapo karibu na mwanajeshi afu hiyo picha nyingine yupo na Magu kanisani.

Sijui kwanini, mara nyingi Magu akiwa kanisani jamaa yeye ndio huwa anakaa karibu zaidi na Magu, inawezekana anajua sana biblia, hivyo inakuwa rahisi kumukumbusha Magu vifungu mbali mbali wakati ibada ikiendelea.

 
Yale maugoro? Yanakalishwa vizuri tu. Acheni kutisha watu nyie. Acheni kuwapa sifa ambazo hawana. Wale wanachezea vizuri tu. Bora uongee wale wanajeshi. Wale ndio hasa walinzi. Hao psu matinginya. Koma kutisha watu.
 


[emoji1787][emoji1787][emoji1787]another crack in my ribs!

Kwamba hakuna commander mwanamke?!?

Are you people for real??

Keep on digging Chief!
 
Mara nyingi hupelekwa kuwa RSO's au DSO's au Wakuu wa Idara au hata kuwa Wakufunzi au hutupwa pia kuwa tu Wasimamizi wa Ikulu ndogo za Mikoani na hukaa huko huko tu.


This statement brought Mzee Mwambalaswa in my images!

If wishes were coins, peeps would be billionaires!
 
Wanao wachukuwa JWTZ ni wale wenye mafunzo ya kikomando na walengaji ni kama pia wanaochukuliwa kutoka idara mbalimbali. TISS ndo baba wa kila kitu hata viongozi hiyo JWTZ na vyombo vingine lazima wawe wana TISS.
Mkuu hii chai ya moto saana.. unalinganisha TISS na JW..? Wako vizuri mno, ila JW kubwa sana mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…