Wewe unasema starahe hawafanyi ulishabahatika kuwakuta wanavyokula bata hao jamaa wanatumia pesa balaaa.hao rais akiwa ikulu wao hawahusiki tenaWamepoteza nn unadhani ile kazi ni rahisi, ile kazi inachukua muda wako mwingi, starehe utaisikia na hata muda na familia yako utaukosa ndo maana raisi anapostafu au kutoka nao inabidi wapumzishwe..
Inategemea na shule yake sio wote wanaomlinda rais wana degree.hapana wengine pale ni form six wengine diplomaMara nyingi wanaenda kufanya kazi za ubalozini huko nchi za nje na hupewa nafasi za juu katika balozi
Vijana wanavutiwa na suti hata kutaka leta dharau kwa baba yao JWTZ.Umri umeshawatupa mkono kwenda officer cadet.ila vijana hawajui kuwa jwtz ndio kila kitu.
Kwaza TISS mafunzo yao ni ya kawaida mda mwingi darasaniVijana wanavutiwa na suti hata kutaka leta dharau kwa baba yao JWTZ.
JWTZ ni kila kitu. TISS ni muhimu kwenye taifaKwaza TISS mafunzo yao ni ya kawaida mda mwingi darasani
Anzisha forum yako na uchague aina ya watu wa kujinga otherwise pole sana, shusha matusi tani yako.
Kumbuka kumuuliza your mom kuhusu mimi (through my name) atakupa taarifa zote kisha njoo kwa hishima hapa.
Hiyo psu yako sipendi kuisikia sijui kwann unairudiaruduaKwanza Rais Hana Walinzi Bali Ana Wasaidizi na Wale Wasaidizi wake unaowaona ni watu wenye Taaluma Zao, Kuna wachumi, Kuna wanasheria, Kuna waandishi Wa Habari, Kuna wahasibu, Psu chini Ya Wambura iko Imara sana.
Imebidi nicheke tu..JPM tutammiss sana asee.maana alikuwa ni mkali ukiingia kwenye 18 zake,na pia alikuwa mtu mmoja mcheshi sana.Pamoja na ulinzi woooote, nilichokua namkubali Magu, na yeye alikua hakosi ka mguu ka kuku kiunoni, ili ikitokea hali imekua mbaya basi atajitetea mwenyewe, hiki nadhani ni kitu kigeni kwa marais wetu waliopita, sidhani kama ben wala kikwete kati yao kuna mtu alikua anatembea na mguu wa kuku.
Mara nyinga siku akibeba mguu wa kuku alikua anavaa koti halafu halifungi vifungo
Ni T116DPENa Leo kutoka mwaza kwenda chato alikuwa mbele ya gari ya maiti akiongoza msafara akitumia land cruiser v8 namba T 356DPY
Nani alikuambia mkuu, au story za vijiweni babaaaaAchana na kigogo hio ndio habari tena walienda wanajeshi watatu tu wakatoa masaa Massa matano
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Hapo ni malaika hotel-Mwz.Mkuu hili jengo la huyu mlinzi
Kadogo wenge sana haka. Kanahitaji kupigwa makofi ili akili ikae sawa. Kana maneno machafu sanaAnzisha forum yako na uchague aina ya watu wa kujinga otherwise pole sana, shusha matusi tani yako.
Kumbuka kumuuliza your mom kuhusu mimi (through my name) atakupa taarifa zote kisha njoo kwa hishima hapa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] utaambiwa jibu ni 1 tu,kigogo.Nani alikuambia mkuu, au story za vijiweni babaaaa
ππππ mtu anakuambia walienda wanajeshi watatu tu kutoa amri.. utafikiri alikuwepo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] utaambiwa jibu ni 1 tu,kigogo.
Subiri hapohapo..
Teh teh ngoja tusubiri jibu la mdau kama atarudi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mtu anakuambia walienda wanajeshi watatu tu kutoa amri.. utafikiri alikuwepo
Atarudi na blaaa blaa tu hapa, hawana mpya.. watu humu wanajiona kama deep state πππTeh teh ngoja tusubiri jibu la mdau kama atarudi.
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji2][emoji2][emoji2]Yule mpambe arudi kambini.
Samia ana mpambe wake wa Kike.
Wengine waje huku mtaani waje tujumuike kwenye kujiajiri!
Mabeyo hajawahi kuwq TISS. Jeshini alishawahi kuwa mkuu wa MI. Inshort hawezi toka mtu TISS akawe CDF, ila inawezena Brigedia General kwenda kuwa DIG TISS ndio utaele
Dah nakuonea hurumaYale maugoro? Yanakalishwa vizuri tu. Acheni kutisha watu nyie. Acheni kuwapa sifa ambazo hawana. Wale wanachezea vizuri tu. Bora uongee wale wanajeshi. Wale ndio hasa walinzi. Hao psu matinginya. Koma kutisha watu.
DohWalinzi wa Rais ni walewale. Wanafundishwa TISS.na wengi wao ni mafisadi wa JWTZ.