Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Wamepoteza nn unadhani ile kazi ni rahisi, ile kazi inachukua muda wako mwingi, starehe utaisikia na hata muda na familia yako utaukosa ndo maana raisi anapostafu au kutoka nao inabidi wapumzishwe..
Wewe unasema starahe hawafanyi ulishabahatika kuwakuta wanavyokula bata hao jamaa wanatumia pesa balaaa.hao rais akiwa ikulu wao hawahusiki tena
 
Mara nyingi wanaenda kufanya kazi za ubalozini huko nchi za nje na hupewa nafasi za juu katika balozi
Inategemea na shule yake sio wote wanaomlinda rais wana degree.hapana wengine pale ni form six wengine diploma
 
Anzisha forum yako na uchague aina ya watu wa kujinga otherwise pole sana, shusha matusi tani yako.

Kumbuka kumuuliza your mom kuhusu mimi (through my name) atakupa taarifa zote kisha njoo kwa hishima hapa.

Rubbish post from you a typical Dimwit.
 
Kwanza Rais Hana Walinzi Bali Ana Wasaidizi na Wale Wasaidizi wake unaowaona ni watu wenye Taaluma Zao, Kuna wachumi, Kuna wanasheria, Kuna waandishi Wa Habari, Kuna wahasibu, Psu chini Ya Wambura iko Imara sana.
Hiyo psu yako sipendi kuisikia sijui kwann unairudiarudua
 
Pamoja na ulinzi woooote, nilichokua namkubali Magu, na yeye alikua hakosi ka mguu ka kuku kiunoni, ili ikitokea hali imekua mbaya basi atajitetea mwenyewe, hiki nadhani ni kitu kigeni kwa marais wetu waliopita, sidhani kama ben wala kikwete kati yao kuna mtu alikua anatembea na mguu wa kuku.

Mara nyinga siku akibeba mguu wa kuku alikua anavaa koti halafu halifungi vifungo
Imebidi nicheke tu..JPM tutammiss sana asee.maana alikuwa ni mkali ukiingia kwenye 18 zake,na pia alikuwa mtu mmoja mcheshi sana.
 
Anzisha forum yako na uchague aina ya watu wa kujinga otherwise pole sana, shusha matusi tani yako.

Kumbuka kumuuliza your mom kuhusu mimi (through my name) atakupa taarifa zote kisha njoo kwa hishima hapa.
Kadogo wenge sana haka. Kanahitaji kupigwa makofi ili akili ikae sawa. Kana maneno machafu sana
 
Mabeyo hajawahi kuwq TISS. Jeshini alishawahi kuwa mkuu wa MI. Inshort hawezi toka mtu TISS akawe CDF, ila inawezena Brigedia General kwenda kuwa DIG TISS ndio utaele

Yale maugoro? Yanakalishwa vizuri tu. Acheni kutisha watu nyie. Acheni kuwapa sifa ambazo hawana. Wale wanachezea vizuri tu. Bora uongee wale wanajeshi. Wale ndio hasa walinzi. Hao psu matinginya. Koma kutisha watu.
Dah nakuonea huruma
 
Back
Top Bottom