Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Wewe unasema starahe hawafanyi ulishabahatika kuwakuta wanavyokula bata hao jamaa wanatumia pesa balaaa.hao rais akiwa ikulu wao hawahusiki tenaWamepoteza nn unadhani ile kazi ni rahisi, ile kazi inachukua muda wako mwingi, starehe utaisikia na hata muda na familia yako utaukosa ndo maana raisi anapostafu au kutoka nao inabidi wapumzishwe..