Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Wale walinzi wa kike wa Gaddafi ni makomandoo hasa...
 
Hujui Kitu Walinzi wa Raisi ni wa Raisi na Sio Makamu so transition power inahama na Walinzi wanabaki kwenye possition zao so Wa Aliyekufa wanamfuata Mother na Wale wa Mother watamfuata atakayeteuliwa Nchimbi 😉
 
[Muda mwingine jifunze kuelewa mambo hata Kama kichwani ni mbumbu usiutabulishe ujinga wako kiasi hiki="Father of All, post: 38406456, member: 72258"]
Wale mabaunsa wakatafute kazi ya ulinzi kwenye makampuni ya ulinzi hasa wale wa chama. Samia atalindwa na wanaawake wenzake. Madume ya nini hata akose raha? Ajifunze toka kwa Gadaffi kuwa wadada wanaweza. Kiutendaji na uadilifu ajifunze kwa Angela Merkel.
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…