Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

Yale majamaa ma soldiers yenye combat sijui za nchi gani nitayamiss sana
Wale jamaa hatari sana waga wapo magogoni na silaha za moto sana nahisi ni wanajeshi pekee wanaoshika silaha kila siku
 
Marron ballet sio watu wale mzee nawajua
 
Yule alishapewa u DC
Hajapewa U DC ( Ukuu wa Wilaya kama usemavyo ) bali amekuwa ni DSO ( Afisa Usalama wa Wilaya ) katika Mkoa Mmoja wenye Watu wanaoipenda na kuijua Hela kuliko Watanzania wengine wote. Na ana Asili ya Uzanzibari ambapo hata Kitaaluma ni Msomi mzuri tu mwenye Masters Degree yake.
 
Si mpemba yule mwenye sigda,yule ni ndugu yetu wa Utete Rufiji. Alhaji Mbatikele
 
namba nne chai
 
Mtu pekee anaeweza kumkalisha marehemu bruce lee ni mimi tu
 
Kaaeni kimya ,jeshi ni pana na ina majukumu kibao,na jeshi inaongozwa kwa sheria na utii.wanaomlinda rais anachaguliwa na wanaandaliwa kweli kweli, wako ndani ya jeshi na ni makamanda wenye ujuzi na mafunzo ya hali ya juu sana,narudia mafunzo ya hali ya juu sana na wako Smart kichwani na ni watu wa kusoma hatari na kujua na kuchukua tahadhari haraka sana.
 
Tofautisha walinzi wa rais na wasindikizaji wa msafara wa rais! Idara ndio inamlinda rais, ndio mana kuna muda hata uwe na kombati ya rangi gani, husogei jirani na rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…