MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #501
Kuna za chini chini nilizosikia kuhusu kutokuwepo Kwake leo hapo, ila kwa sasa naomba nikae Kimya huku nikiendelea Kujiridhisha nalo. Yajayo yanafurahisha / hayafurahishi Ndugu.Leo CCM imethibisha mwenyekiti wao mpya ni Samia, Ila katibu mkuu hakuwepo na hawajasema hatma ya Bashiru.