Je, wanaanga waliopo kwenye kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station wanapata usiku na mchana?

Je, wanaanga waliopo kwenye kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station wanapata usiku na mchana?

yah hilo lipo sawa kwakuwa huwa wanaenda huko kwa muda mfupi na kurudi duniani hakuna mtu amewahi kuishi huko miaka mingi
hata hivo NASA wana vifaa mpaka vya mazoezi huko juu,na kila kitu kipo recycled kuanzia mkojo,jasho nk,yani ukikojoa mkojo unaprocessiwa na kuwa maji ya kunywa,ukitoa jasho linaprocessiwa na kuwa maji ya kunywa na ukienda chooni hakitupwi
Unamaanisha wakikaa kwa mda mrefu,hiyo ishu ya age itatake effect??
 
Wao Kila Baada ya Dakika Tisini Usiku unaingia na Baada ya Dakika Tisini kunapambazuka Kwa Sababu ISS inazunguja Dunia Kwa Kasi Sana Takriban 27000km/h.

Saa wanazo space watches. Ambazo. Zinajuwa Corresponding na Huku duniani
Uko sahihi kabisa. Rotational Speed ya Dunia ni miles 1000 kwa saa, sawa na km 1600 kwa saa na ile ya ISS ni takribani km 28000 kwa saa
Ukifanya mahesabu hapa kwamba:

KASI ya km 1600 kwa saa inaendana na masaa 24, je

KASI ya km 28000 kwa saa itaendana na masaa mangapi?

Ni masaa 1.37 au saa moja na dakika takribani 22.

Bado tena ISS iko umbali wa km 408 juu, na hivyo kuifanya iwe umbali wa km 6371+408= km 6779 kutoka kwenye KITOVU cha dunia (centre of the earth), kwa sababu nusu kipenyo cha dunia ni km 6371
Kwa hiyo muda sahihi wa usiku na mchana kwenye umbali wa km 408 juu ya uso wa dunia ni

(6779/6371)*1.37=1.45 hours
Kwa hiyo kila baada ya saa moja na dakika 27 (1.45 hours), ISS huwa wanapata usiku na mchana

Iwapo kama ISS wangekuwepo hapa chini ya uso wa dunia, (na bado wakawa wanatembea kwa kasi hiyo ambayo ni tofauti na ile ya dunia) wangeweza kuwa wanapata usiku na mchana ndani ya saa moja na dakika takribani 22 (1.37 hours)
 
The ISS orbits Earth every 90 minutes. So, instead of receiving 12 hours of light followed by 12 hours of dark, astronauts experience 45 minutes of light followed by 45 minutes of dark. That's 16 sunrises and sunsets each day!


sipati picha duniani ingekuwa hivi
 
Je wana feel hiyo speed? Ukiwa kwenye gari, likisimama unajua, likiongeza mwendo unajua, na mwendo ukiwa mkali sana unajua. Je vipi ukiwa kwenye hiyo satellite?
hawawezu feel speed wapo in 0 gravity speed is relative motion wanaweza ona dunia ipo slow relative to them.
 
Kwenye web wanasema usiku ni dkk 45 na mchana pia, Sijajua nimekosea wapi mahesbau yangu, nitacheki
Nadhani ni kwa sababu sijatumia principals za kwenye physics ambazo zina include pia force of attraction/ gravitational force between two bodies. Ntarudi siku nyingine, muda hautoshi



A day on station
The ISS orbits Earth every 90 minutes. So, instead of receiving 12 hours of light followed by 12 hours of dark, astronauts experience 45 minutes of light followed by 45 minutes of dark. That's 16 sunrises and sunsets each day!19 Nov 2019
 
Back
Top Bottom