Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
kuwa maji ya kunywaChoo Kina kuwa processed kuwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwa maji ya kunywaChoo Kina kuwa processed kuwa nini?
Unamaanisha wakikaa kwa mda mrefu,hiyo ishu ya age itatake effect??yah hilo lipo sawa kwakuwa huwa wanaenda huko kwa muda mfupi na kurudi duniani hakuna mtu amewahi kuishi huko miaka mingi
hata hivo NASA wana vifaa mpaka vya mazoezi huko juu,na kila kitu kipo recycled kuanzia mkojo,jasho nk,yani ukikojoa mkojo unaprocessiwa na kuwa maji ya kunywa,ukitoa jasho linaprocessiwa na kuwa maji ya kunywa na ukienda chooni hakitupwi
hakuna ajuaye mkuu kama itakuwa hivo, NASA kwa mfano sasa hivi wanafanya tafiti za madhara anayopata mtu akilala muda mrefuUnamaanisha wakikaa kwa mda mrefu,hiyo ishu ya age itatake effect??
Uko sahihi kabisa. Rotational Speed ya Dunia ni miles 1000 kwa saa, sawa na km 1600 kwa saa na ile ya ISS ni takribani km 28000 kwa saaWao Kila Baada ya Dakika Tisini Usiku unaingia na Baada ya Dakika Tisini kunapambazuka Kwa Sababu ISS inazunguja Dunia Kwa Kasi Sana Takriban 27000km/h.
Saa wanazo space watches. Ambazo. Zinajuwa Corresponding na Huku duniani
The ISS orbits Earth every 90 minutes. So, instead of receiving 12 hours of light followed by 12 hours of dark, astronauts experience 45 minutes of light followed by 45 minutes of dark. That's 16 sunrises and sunsets each day!
hawawezu feel speed wapo in 0 gravity speed is relative motion wanaweza ona dunia ipo slow relative to them.Je wana feel hiyo speed? Ukiwa kwenye gari, likisimama unajua, likiongeza mwendo unajua, na mwendo ukiwa mkali sana unajua. Je vipi ukiwa kwenye hiyo satellite?
🤣sipati picha duniani ingekuwa hivi