GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine kupiga kura?

  • Wana haki kuzuia wengine kupiga kura

  • Hawana haki kuzuia wengine kupiga kura

  • Sijui

  • Sijali


Results are only viewable after voting.
Yote yanawezekana kufanyika siku Moja maandamano na kupiga kura, watawala wasiwe waoga si wanakubalika na wananchi.
Hoja si maandamano. Maandamano tushakubali ni haki ya kikatiba na kibinadamu.

Mimi sioni mjadala kwenye maandamano.

Hoja ni wanaharakati kuzuia watu kupiga kura.

Ni sawa au si sawa?

Umeelewa tofauti?
 
Hoja si uchaguzi utafanyika au hautafanyika.

Hoja si uchaguzi ni halali au si halali.

Hoja ni, wanaharakati wana haki ya kuwazuia wengine kupiga kura? Au hawana haki hiyo?
 
KAULI za watu kama heche kwa muda tofauti tofauti kuhusu kutofanyika kwa uchaguzi na kuzuia uchaguzi ni kauli za hatari sana na kwa muda huu walitakiwa wawe wameshatiwa nguvuni na kuwekwa jela kwa kuwa wanachochea vurugu na uvunjifu wa katiba...
 
Mkuu unaweka poll ya kitu cha kufikirika. Ni wanaharakati gani waliosema wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura
Kwanza hata hoja ya kufikirika ina manufaa kwa sababu kila kitu kinaanza kama kitu cha kufikirika.

Hata huu mtandao kuna protocol zake zilianza kama kitu cha kufikirika tu, leo tunautumia.

Lakini pia, kuna watu wanafundishana kutengeneza Molotov Coctail bombs kuvuruga uchaguzi, ni wewe tu huna taarifa,watu hao wapo wanajadili haya mambo publicly, ni wewe tu huna taarifa.
 
Mkuu mimi ni mtumiaji wa mitandao, ulipaswa kusema ni wanaharakati gani na wapo kwenye platform ipi wakisema Wana haki ya kuzuia wengine kupiga kura. Ni wapi pia wanapofundishana kutengeneza hizo Molotov cocktail
 
Hoja si uchaguzi utafanyika au hautafanyika.

Hoja si uchaguzi ni halali au si halali.

Hoja ni, wanaharakati wana haki ya kuwazuia wengine kupiga kura? Au hawana haki hiyo?
RAI YETU kwa wazazi ni kuwa sikilizeni yale mnayoambiwa na viongozi wenu wa dini na wakanyeni sana watoto wenu kwa kurudiarudia sana juu ya hatari ya wao kujihusisha na maandamano yanayochochewa hiyo 29 Oktoba 2025.

Hao wanaochochea watoto wenu waandamane wako nje ya Tanzania na walijaribu kuandamana juzi juzi wakajitokeza watu watatu kule Marekani. Hii maana yake ni kuwa wanachokifanya ni ujinga na kimepuuzwa kwa kiasia kikubwa sana na wanataka kutumia watoto wenu kufanya vurugu kwa ajili ya kutimiza ajenda zao za kisiasa na kiuanaharakati maslahi ili tu wavute grants kama ilivyo kawaida yao...
 
Hoja si uchaguzi utafanyika au hautafanyika.

Hoja si uchaguzi ni halali au si halali.

Hoja ni, wanaharakati wana haki ya kuwazuia wengine kupiga kura? Au hawana haki hiyo?
Haki ya kupiga kura katika mazingira ambayo kura zinazopigwa hazina maana yoyote/ hazibadilishi chochote kwa sababu matokeo tayari yameandaliwa(predetermined) haina maana yoyote.
 
Maandamano yatafanyika kwenye vituo vya kura hili wasipige kura.

Baada ya kutafakari kwa Kina nilishawishika kuamini aliyepanga wazo la "No election, No reform" yuko ndani na nje ya Chadema, na ndio maana wale walioona uzito wake na wakaona hawawezi kuubeba wakaamua kukaa pembeni.

Samia anachotaka kufanya kwenye huu uchaguzi ni kurenew "Uhalali wake", Kura zikiwa chache zitaathiri uhalali wake na zaidi ni uchaguzi usipofanyika ndani ya Ratiba, maana yake, Itabidi awe Rais wa dharura.

Katiba inasema uchaguzi ufanyike ndani ya siku 90 baada ya bunge kuvunjwa, kama uchaguzi utaharishwa kwa fujo basi Kutakuwa na mgogoro kati ya Rais na INEC au wakubaliane kupika data, INEC ndio watu pekee wenye uwezo wa kusogeza/kuhairisha uchaguzi, Samia akiongeza siku kwenye hizo Tisini, atakuwa anaongoza nchi kwa "Nguvu za dharura". Tukishafika hapa opportunity nyingi zitakuja dhidi ya utawala wa Samia na CCM
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Mkuu,

Nenda Clubhouse Clubs za mtu anaitwa Abihudi kamsikilize anafundisha wafuasi wake kufanya violent disruption,kutumia silaha, kutengeneza Molotov cocktail bombs.

Zaidi, tunaweza kuzungumzia hoja kwamba jambo hili ni sahihi au si sahihi, si lazima kitu kifanywe na mtu ili tuweze kujadili usahihi wake.

We can think in the abstract now, can't we?
 
Mkuu mimi ni mtumiaji wa mitandao, ulipaswa kusema ni wanaharakati gani na wapo kwenye platform ipi wakisema Wana haki ya kuzuia wengine kupiga kura. Ni wapi pia wanapofundishana kutengeneza hizo Molotov cocktail
Upo Clubhouse? Unamsikiliza Abihudi Pallangyo katika clubs zake?
 
Kama wanaharakati hawana haki ya kuzuia wengine kupiga kura! Kila mtu taarifa za uchaguzi anazipata vizuri tupunguze kuhubiriana kuhusu kupiga kura! Juzi tu umetokea msiba hapa wamemaliza kuzika eti shehe anaanza kuwahubiria watu malaloni kuwa tudumishe amani Tz ni nchi ya amani kwahiyo tukapige kura… raia walimind wakaisha wakabaki wafiwa tu!
 
Haki ya kupiga kura katika mazingira ambayo kura zinazopigwa hazina maana yoyote/ hazibadilishi chochote kwa sababu matokeo tayari yameandaliwa(predetermined) haina maana yoyote.
Hoja si uchaguzi una maana au hauna maana.

Hata kwenye uchaguzi usio na maana.

Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia watu kupiga kura ikiwa watu wameamua kupiga kura katika uchaguzi usio na maana?
 
Mkuu mimi na hata wengine hawamjui huyo abiudi, ungeweka details za kutosha.
Tunajadili jambo kulingana na ulivyolileta. Ni sawa na uandike Steve nyerere anataka kuwa raisi 2025, watu lazima watahoji kivipi, huwezi waambia watu wajadili tu hata Kama sio lazima itokee
 
Kuna tofauti kati ya kuzuia watu kupiga kura na kushawishi watu kupiga kura.

Shehe amewashawishi watu kupiga kura. Hili halina tatizo.

Wanaharakati wana haki ya kushawishi watu wasipige kura, hilo halina tatizo.

Tatizo linakuja kwenye kulazimisha watu wapige au wasipige kura.
 
Upo Clubhouse? Unamsikiliza Abihudi Pallangyo katika clubs zake?
Mkuu ulipaswa utueleze kuhusu abiudi, wapo mamilioni hawamjui. Hata hapa wapo maelfu hawamjui abiudi ni nani.

Pia ungeweka ushahidi wa alichosema sababu hakuna anayeweza kuamini kila unachokisema wewe, vipi ikiwa unamsingizia huyo abiudi?
 
Mkuu ulipaswa utueleze kuhusu abiudi, wapo mamilioni hawamjui. Hata hapa wapo maelfu hawamjui abiudi ni nani.

Pia ungeweka ushahidi wa alichosema sababu hakuna anayeweza kuamini kila unachokisema wewe, vipi ikiwa unamsingizia huyo abiudi?
Umetaka jina, nimekupa, umetaka platform, nimekupa.

Ukitaka kujua zaidi mfuatilie Clubhouse yupo kila siku na rekodi za mazungumzo yake zipo mtandaoni Clubhouse.

Huyo ni mmoja mwenye ujasiri wa kusema, lakini kuna wafuasi wake na wengine wengi wenye mawazo kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…