Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wanaharakati wanayo haki kuzuia uchaguzi haramu utakaopelekea kuwa na watawala haramu ambao watakuwa wanatawala watu wote ikiwemo wale waliopinga uchaguzi haramu, kwa hiyo kama wanaweza kuzuia ni jambo bora zaidi.Hoja si uchaguzi una maana au hauna maana.
Hata kwenye uchaguzi usio na maana.
Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia watu kupiga kura ikiwa watu wameamua kupiga kura katika uchaguzi usio na maana?