Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
"mazungumzo ya kifalsafa na kidhahania" my foot!
Hata bila ya mwanaharakati yeyote kuwapo, wala kusema lolote.Umekosa uelewa kichele tu mzee, Mwanaharakati hajasema kuwa hatopiga kura bali anasema kuwa hakuna uchaguzi bila reforms sasa kama Reforms hamna wewe unaehisi kura kupiga kura bila Reforms ni haki yako utuambie umejipanga vipi kuilinda kura yako nje na hapo means unasupport mfumo mbovu uliopo... Na kiukweli nafasi ya kukudunda ikipatikana naunga mkono.
Hatari sanaCha kwanza watakao zuia watu wasipige kura siyo wanaharakati bali ni sisi wananchi na tarehe 29 tunakiwasha
Tumeshaandaa mipango yote ya kuchoma kituo cha kura kilichopo hapa mtaani na hata mwenyekiti wa mtaan anajua
Mkuu watanijua ila siku ya uchaguzi mtapata taarifa kuwa vituo vya kumpigia kura vimechomwa motoKituo gani hicho mkuu?
Tuweke rekodi sawa baada ya uchaguzi turejee kuangalia kama kituo kimechomwa moto kweli au haya ni maneno ya mitandaoni tu.
Mkuu tumejipanga kupambana na hawa wahuniHatari sana
Aaah,Mkuu watanijua ila siku ya uchaguzi mtapata taarifa kuwa vituo vya kumpigia kura vimechomwa moto
Mujue ndo sisi hao
Hakika tutaandamana tarehe 29 liwalo na liwe kama ni kufa fresh tu ndugu yangu
Mkuu,Swali ambalo mimi najiuliza, kama kupiga kura ni haki je hiyo si mpaka huo mchakato mzima ujengwe kwenye misingi ya haki pia? Au hakuna ulazima?
Ikiwa kama misingi ya uchaguzi haijazingatia haki, tutaanzaje kusema kitendo cha kupiga kura katika mazingira hayo ni kutimiza haki ya mpiigaji?
Kwanza siamini kuwa wanaoshiriki huu uchaguzi hawajui kuwa ni uchafuzi. Ni kwasababu wana bei ndogo na wamekubali kuingia kwenye huu uchaguzi kwasababu ya hongo waliyopewa.
Mgombea uraisi wa TLP hata mkoani hajafika, anapiga kampeni kwenye mkutano wa watu 10 halafu anasema anauhakika atashinda. Kweli nasisi tunaamini huyu mtu hajui ukweli wa huu uchaguzi na matokeo yatavyokuwa?
Vyama vilivyoshiriki kimsingi ni vyama vya CCM ambavyo vilitengenezwa kama backup pale ambapo chama chenye misimamo cha upinzani kitaenda tofauti.
Kuzuia aina hii ya uchaguzi naona ni fair kwasababu ni kiini macho tu, umekosa uhalali wa kusema ni uchaguzi ambao unaweza kumpa heshima au haki ya kweli anayepiga kura.
Mimi binafsi naona sio kila inayoitwa haki basi ni haki kweli nadhani haki lazima ipimwe, haki yako inaweza kuwa na umuhimu pale tu ambapo mifumo ya utekjelezaji hiyo haki inakuwa imejengwa kwa misingi ya haki.
Huko nyuma kulikuwa na haki ya kumiliki mtu (mtumwa) lakini saizi hatukubaliani kuwa ile ni haki licha ya watu wa miaka hiyo kuiita haki ni kwasababu tukiipima katika mizania ya haki kweli hatuoni uhalisia wake.
Wapi umeona wakisema wataharibu??, Unaharibu vipi kitu ambacho hakipo?Hata bila ya mwanaharakati yeyote kuwapo, wala kusema lolote.
Hata huu uzi kuwa si wa kuhusu siasa za Tanzania.
Hoja ipo pale pale, na swali lipo pale pale.
Katika nchi ya kufikirika K.
Kuna wanaharakati H. Hawajaridhika na mfumo wa kupiga kura na uongozi wa nchi.
Pia kuna watu wanaotaka kupiga kura P.
Je, wanaharakati H, wakiona uongozi wa nchi K ni mbaya, unaharibu mchakato wa kura, wana haki ya kuwanyima wanaotaka kupiga kura P haki yao ya kupiga kura?
Nimesisitiza mazungumzo ya kifalsafa na kidhahania lakini kwa nini mnakuwa wagumu kuelewa na mnashindwa kufanya mazungumzo haya in the abstract?
Nimeelewa jibu lako zuri sana.Hakuna mwenye haki ya kunilazimisha kupiga kura wala kutopiga kura, ila kuna wale wenye uwezo wa kunishawishi kwanini nikapige kura au kwanini nisiende kupiga kura! Lakini maamuzi ya mwisho yatabaki katika nafsi yangu.
Nafikiri swali lilipaswa liwe utaenda kupiga kura? Uweke NDIYO na HAPANA then angalia nafsi za watu wasiolazimishwa wamefanya maamuzi gani.
Mimi nakwambia hata kama mtu yeyote hajasema ataharibu kuna hoja ya kuijadili hapa, ya kidhahania, ya kifalsafa, kwamba mtu mmoja ana haki ya kumlazimisha mwingine asipige kura?Wapi umeona wakisema wataharibu??, Unaharibu vipi kitu ambacho hakipo?
Nimekuelewa mkuu ila hapo ukisema mtu kulazimishwa asipige kura haina maana yoyote maan hakuna anaemchunga mwenzake kila mtu ana akili yake kichwani ya kufanya maamuzi we sema kuwa unalenga kuuliza kuwa "ni sahihi wanaharakati kutaka kuharibu uchaguzi ilihali kuna wachache wanaridhika na mfumo unaoendelea?"Mimi nakwambia hata kama mtu yeyote hajasema ataharibu kuna hoja ya kuijadili hapa, ya kidhahania, ya kifalsafa, kwamba mtu mmoja ana haki ya kumlazimisha mwingine asipige kura?
Wewe unarudia kuuliza wapi nimeona wakisema wataharibu?
Umeelewa swali na hoja?
This is easy peasy!Hoja si maandamano. Maandamano tushakubali ni haki ya kikatiba na kibinadamu.
Mimi siona mjadala kwenye maandamano.
Hoja ni wanaharakati kuzuia watu kupiga kura.
Ni sawa au si sawa?
Umeelewa tofauti?
Umekwishashindwa na kuharibu mwenyewe mada halafu unataka watu wafanye "kifalsafa", whatever that means.Naomba mazungumzo ya kidhahania zaidi, yajikite kwenye sababu za kifalsafa Zaidi, kimantiki, kuliko kuwa na mjadala wa kisasa wenye hisia zaidi.
"Waandamane tu kwa amani", na huko kwenye masanduku ya kura kujazwe kura FEKI; hii ni akili ya matope kabisa!Wanaotaka kuandamana nao waachwe watumie haki yao ya kikatiba lakini maandamano hayo yasilete usumbufu kwa wataoenda kupiga kura. Pia, waandamane tu kwa amani.
Crap As expected from a hoodlum like you are!.Kwa mara nyingine tena tunawaambia kuwa uchaguzi ni suala ziti sana la kikatiba na linafanywa kwa kuwa lazima katiba iheshimiwe na jaribio lolote la kuzuia katiba kutekelezwa maana yake nikuzuia demokrasia na kupelekea kuwa na uongozi usio madarakani kiuhalali kwa kuwa haukuchaguzliwa kwa mujibu na matakwa ya kikatiba
EEEEnHEEEEh!imhotep na wengine, nimeweka pollhapo juu nawaomba mpige kura kuhusu jambo hili.