figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi.
Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona.
Anaitwa Kapteni Tesha kutoka Shule ya Anga ya Jeshi. Amesema katafakari sana..
Amesema, "JESHI LICHUKUE NCHI HARAKA SANA".
"KWA HILI HAMTOKI". HHAKUNA KUOGOPA WALA KUTIA HURUMA"
"KIKWETE AKAMATWE KUJIBU TUHUMA ZA KIFO CHA MAGUFULI".
"MPAKA NIMEAMUA KUWA MWANAJESHI, SWALA LA KIFO NILIKUWA NALIJUA. SIOGOPI HATA KIDOGO". Mwisho wa kunukuu.
MY TAKE:
Jeshi la Tanzania sasa ni Rasmi limegawanyika kuhusuniana na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Hata Tesha apigwe afungwe auliwe, Namhakikishia Rais Samia, Safari hii hatoboi. Mipango imepangwa na imepangikwa. 🔥🔥
Umeona mambo hayo?