Je, Wanajeshi wa Tanzania wameukataa uchaguzi au ni Maigizo?

Jeshi kiutaratibu haliwezi chukua inchi na mamlaka ya kusimamia hadi pale ambapo wanainchi kwa umoja hawata watoa walioshika mamlaka na kuibatilisha serikali.

Jeshi linatakiwa kufanya hivyo katika situation mbili.

1. Kama regime iliyopo itakuwa inashambulia raia wote au kwa asilimia kubwa kuwa kama mateka hapo jeshi lazima liingilie kuwatetea raia.

Lakini ukitazama situation ya sasa itakuwa si sawa kwa jeshi kuingilia mamlaka kwasababu kuna raia tofauti wenye mitizamo tofauti ingawa wengi wanaonekana kutoridhika na uongozi wa sasa.

2. Wanainchi wakisha wabalasa mabwanyenye katika serikali na kuwaweka chini ya ulinzi au kuwafukuzia ugenini na inchi jirani. Kuanzia hapo jeshi linatakiwa kusimamia muda wa mpito hadi pale uchaguzi halali utakapo fanyika.

Kwahiyo kama mnataka jeshi liingilie kati then ni aidha raia muingie barabarani,ikulu,bungeni, mahakamani na kuwatoa watendaji wote wa serikali nje na kuwafukuza kazi rasmi waondoke ninyi mtabakia hapo ndani kushirikiana kulinda mtu yoyote asije kuiba au kuharibu mali za ofisi za uma mkingojea wanajeshi waje kuwapokea majukumu ya ulinzi then mnarejea nyumbani kusubiria uchaguzi wa mpito kuchagua serikali halali ya wanainchi.

2. Ni kama serikali ya sasa watatumia mabavu kuongoza yaani kwa kuongeza vitendo vya uonevu,ubabe,ukorofi,ukandamizaji na mauwaji hapo jeshi lazima lifanye mkakati wa misheni maalumu ya kuondoa serikali batili kwa nguvu.
 
Hii ni kweli? Maana kapteni wa jeshi kama huyo ni mkubwa na ni uasi wa hali ya juu
UASI?
Kukataa maovu yanayofanyika dhidi ya waTanzania, huo siuoni kuwa uasi.
Samia na Genge lake hawawezi kuwa na heshima tena ya kusemwa kuwa viongozi ambao wanafanyiwa uasi. Badala ya kuuita "uasi" mimi naona wingi wa "uzalendo" kwa mTanzania huyu.
 
1. Kama regime iliyopo itakuwa inashambulia raia wote au kwa asilimia kubwa kuwa kama mateka hapo jeshi lazima liingilie kuwatetea raia.

Lakini ukitazama situation ya sasa itakuwa si sawa kwa jeshi kuingilia mamlaka kwasababu kuna raia tofauti wenye mitizamo tofauti ingawa wengi wanaonekana kutoridhika na uongozi wa sasa.

2. Wanainchi wakisha wabalasa mabwanyenye katika serikali na kuwaweka chini ya ulinzi au kuwafukuzia ugenini na inchi jirani. Kuanzia hapo jeshi linatakiwa kusimamia muda wa mpito hadi pale uchaguzi halali utakapo fanyika.
Id Amin na yeye aliyafuata haya ya nadharia unayozungumzia hapa? Akina Mobutu, je? Na wengi wengine.

Hizi elimu za kukariri vitabuni bila hata ya kuzichenjua zilete maana ni matatizo makubwa sana kuhusu elimu yetu siku hizi!
 
Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona.

Historia ya JWTZ / Military history
Kabati ya historia linatuambia kuwa ina tabia ya kujirudia, kuwa rebellion/ uasi dhidi ya utawala hutekelezwa na kundi lenye mawazo yanayokubaliana :

TOKA MAKTABA 1986
Rais Ali Hassan Mwinyi awaachia huru maofisa wa JWTZ waliokuwa kizuizini kwa tuhuma za uhaini :

President Ali Hassan Mwinyi frees 14 from detention ,

From NATION Correspondent
in Dar es Salaam, Tanzania. Sunday

Fourteen people , detained on suspicion of being implicatedin the attempted plot to
overthrow the government of the now-retired Tanzanian President Julius Nyerere three years ago, were freed yesterday.

Their freedom, announced today by the government-owned .Sunday News, followed President Ali Hassan Mwinyi's decision to resciud their detention order. According to the list, seven were armymen and five civilians. The names of the remaining two people were not given.

The freed armymen were identified as Lieutenant-Colonel M a r t i n P e t e r Msami.
Lieutenant - Colonel Martin Ngalomba, Lieutenant-Colonel Protas Bachibila Muchwampika
.

Captain Harry Hanspoppe, Captain Manyama Athumani oazukainwe, Lieutenant John Mhelwa Mzimba and Sergeant Michael Mwigulu.

The five civilians were Messrs Robert Bayona, Thadeo Boniface, Mtakyama Bugingo, Ramadhani Shabani Otto and Sulemani Nassor Seif. The remaining two names were not released.

The 14 were among scores of people detained without trial in early 1983 on suspicion that they were connected with the coup plot which the government claimed was planned to take place between June, 1982, and Jan 1983

Of the convicted for planning the coup attempt, One of them was the alleged ring leader, Mr Pius Mtakubwa Lugangira who, together with Hatty McGhee, escaped from the maximum security remand prison in June, 1984, and fled to Kenya.

Hatibu Gandhi alias Captain Hatty Macghee; others were Captain Christopher Kadego alias Chriss; Lieutenant Eugene Maganga; Captain Metusela Suleiman Kamando; Captain Vitalis Gabriel Mpunda; Captain Rodrick Roushan Roberts; Captain Dietrich Oswald Mbogoro; Captain Zacharia Hanspoppe and P3794 Lieutenant Badru Rwechungura Kajaja. Mr McGhee was subsequently returned to Tanzania in exchange for two Kenya Air Force men whowere in Tanzania as political refugees.

Last year, a well known local industrialist, Jayantlal Rajani, was released after being detained in connection with the 1983 plot. Against Mr Nyerere, AFP writes. During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.

During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine
People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.

At the time when the country was facing this economic crisis in 1982, the second, third,
fourth, fifth, sixth, seventh, eighth and ninth appellants held military commissions in the
Tanzania Peoples' Defence Forces, that is TPDF.

At the time material to this case in 1982, the second appellant was stationed in a tank unit in Dar es Salaam, whereas the third appellant was pursuing higher studies at Dar es Salaam University. He was in his final year reading for a BA degree in Political Science.

The fourth appellant was a pilot in the TPDF Airwing at Ukonga in Dar es Salaam, and so were the fifth and sixth appellants. As far as the seventh appellant is concerned, he was in the Air Defence Regiment and was in charge of Battery No 2 in Dar esSalaam; similarly, the eighth appellant was in the same regiment as Chief Engineer.

As for the ninth appellant, he happened to be stationed in a military unit at Nachingwea, but was in Dar es Salaam in December 1982. All appellants are Tanzanians by nationality.
Thereafter, during the same month of December 1982, the first appellant and the fourth
appellant visited Zanzibar on several occasions. At about this time the first appellant received a number of guests at house No 80B Drive-In.

He, and a number of friends, also used to visit a house at Kinondoni Mkwajuni, that is, house No 65--32P along Livingstone Street in Dar es Salaam, where he and his friends used to have lunch and indulge in heavy drinking. That house belonged to PW38, that is, Zahara Abdulla Sengumba, who rented it from the National Housing Corporation. She was in some way related to the first appellant.

She had agreed to allow the first appellant and his friends to have their lunch there as and when they wished. For most of the time, material to this case, the first appellant travelled in the city by taxi which he hired from PW1, that is, Abdallah Mhando. Towards the end of December 1982, the first appellant hired another taxi driven by PW45, that is, Nassor Sultan Seif, apparently because PW1 had travelled outside the country to Harare in Zimbabwe.

During this time, Pius Lugangira alias Father Tom was not sitting idly by at Motel Agip, but made a number of contacts in the city, including a visit to house No 1127 Chole Road at
Source: IFRA Press Archive
 
Lissu kawekwa ndani, chadema imezuiwa kufanya siasa, kumetokea ombwe kubwa sana na linajazwa na mafinyufinyu haya yanayotokea. Wananchi wengine hawaelewi ni mchezo gani huu unachezwa au ni kweli? Alianza gwajima kupasua mbarika, akaja polepole, mpina naye akatrend, mtoto wa nyerere akasema yake, afande tesha akaibukia mitandaoni! Haya ni zuga au ni kweli? Isije ikawa ni kupoteza maboya wananchi waache kufikiria no reform no election na hatutatiki, kuhamisha mawazo kimkakati. Maana kampeni za mgombea yule zimeshamiri na kujaza nyomi na vibe viwanjani. Wanatokea akina tesha wanaongea mazito, wataelewekaje wakati mambo ya uchaguzi yanaenda freshi tu na mgombea hatikisiki?
 
Kwa video hii na maneno haya ya huyu Captain, wanamtaka Lissu aachiwe, polisi wasizuie waandamanaji, muafaka wa kitaifa, Kikwete, Rostam na Samia watiwe ndani wakaungane na Lissu... haya mambo ni moto moto kweli.

Kosa naloliona hulo mbele ni kumkamata, wampeleke court Marshall , halafu wanajeshi wengine wakinukishe... Huyu Cpt Tesha katumia busara sana, angeweza kuchukua ndege vita (kama yeye ni rubani) na kwenda kudungua huko huko walipo kwenye campagin zao.

Wamsikilize na wafanyie kazi ushauri wake nchi isonge mbele. Basi-perido na wasimbughudhi.
 
Huyo Lissu wanaomshitaki kwa uhaini sasa wanakutana na uhaini konk, uhaini wa kweli! wamefufua mzimu! haya ndiyo madhara ya kutajataja mzimu hovyohovyo mahakamani! Hili jinamizi la kina macghee, anko tom, kadege, maganga, hansppope wamelitajataja sana mahakamani ngoja liwatishe! wananchi tushasahau habari za uhaini ila viongozi kwa akili zao mbovu wameliamsha dude. Dude lenyewe limefukuliwa lina ghadhabu kubwa wacha wahangaike nalo shetani hilo!
 
Kwa video hii na maneno haya ya huyu Captain, wanamtaka Lissu aachiwe, polisi wasizuie waandamanaji, muafaka wa kitaifa, Kikwete, Rostam na Samia watiwe ndani wakaungane na Lissu... haya mambo ni moto moto kweli.

Kosa naloliona hulo mbele ni kumkamata, wampeleke court Marshall , halafu wanajeshi wengine wakinukishe... Huyu Cpt Tesha katumia busara sana, angeweza kuchukua ndege vita (kama yeye ni rubani) na kwenda kudungua huko huko walipo kwenye campagin zao.

Wamsikilize na wafanyie kazi ushauri wake nchi isonge mbele. Basi-perido na wasimbughudhi.
we mjuba sasa unaleta utani, yaani kapteni arushe ndege akalipue mkutano wa kampeni huoni kuwa anaua ile nyomi yote uwanjani? Hiyo itakuwa kimbari na uhalifu wa kigaidi
 
Huyu kacopy toka kwa polepole na ujinga ulimjia kichwani kuamini kuwa anaweza kuongea vile.. wenzake wapo nje ya Nchi akina Maria, Polepole Sativa sasa wewe unakaa Ukonga unaongea halafu unasema Jeshi Jeshi Jeshi.....
 
we mjuba sasa unaleta utani, yaani kapteni arushe ndege akalipue mkutano wa kampeni huoni kuwa anaua ile nyomi yote uwanjani? Hiyo itakuwa kimbari na uhalifu wa kigaidi
Hao jamaa huwa wakitaka kunyoosha mambo, hiyo kimbari huwa hawaitilii maanani sana.
Madikteta wengi kuanzia Yule wa ufilipino Duterte, Gen Musharaf, Jerry Rowlings, na Yule Traole, hawakujali dunia inasema nini . Wao waliamua mambo yakawa mambo. Mifano ni mingi. Hofu yangu ni kwamba wasije tu kuitungua Helkopta ya mama huko kwenye campaign zake.
Wana namna nyingi wakiamua kufanya kazi ya wananchi.
 
Historia ya JWTZ / Military history
Kabati ya historia linatuambia kuwa ina tabia ya kujirudia, kuwa rebellion/ uasi dhidi ya utawala hutekelezwa na kundi lenye mawazo yanayokubaliana :

TOKA MAKTABA 1986
Rais Ali Hassan Mwinyi awaachia huru maofisa wa JWTZ waliokuwa kizuizini kwa tuhuma za uhaini :

President Ali Hassan Mwinyi frees 14 from detention ,

From NATION Correspondent
in Dar es Salaam, Tanzania. Sunday

Fourteen people , detained on suspicion of being implicatedin the attempted plot to
overthrow the government of the now-retired Tanzanian President Julius Nyerere three years ago, were freed yesterday.

Their freedom, announced today by the government-owned .Sunday News, followed President Ali Hassan Mwinyi's decision to resciud their detention order. According to the list, seven were armymen and five civilians. The names of the remaining two people were not given.

The freed armymen were identified as Lieutenant-Colonel M a r t i n P e t e r Msami.
Lieutenant - Colonel Martin Ngalomba, Lieutenant-Colonel Protas Bachibila Muchwampika
.

Captain Harry Hanspoppe, Captain Manyama Athumani oazukainwe, Lieutenant John Mhelwa Mzimba and Sergeant Michael Mwigulu.

The five civilians were Messrs Robert Bayona, Thadeo Boniface, Mtakyama Bugingo, Ramadhani Shabani Otto and Sulemani Nassor Seif. The remaining two names were not released.

The 14 were among scores of people detained without trial in early 1983 on suspicion that they were connected with the coup plot which the government claimed was planned to take place between June, 1982, and Jan 1983

Of the convicted for planning the coup attempt, One of them was the alleged ring leader, Mr Pius Mtakubwa Lugangira who, together with Hatty McGhee, escaped from the maximum security remand prison in June, 1984, and fled to Kenya.

Hatibu Gandhi alias Captain Hatty Macghee; others were Captain Christopher Kadego alias Chriss; Lieutenant Eugene Maganga; Captain Metusela Suleiman Kamando; Captain Vitalis Gabriel Mpunda; Captain Rodrick Roushan Roberts; Captain Dietrich Oswald Mbogoro; Captain Zacharia Hanspoppe and P3794 Lieutenant Badru Rwechungura Kajaja. Mr McGhee was subsequently returned to Tanzania in exchange for two Kenya Air Force men whowere in Tanzania as political refugees.

Last year, a well known local industrialist, Jayantlal Rajani, was released after being detained in connection with the 1983 plot. Against Mr Nyerere, AFP writes. During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.

During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine
People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.

At the time when the country was facing this economic crisis in 1982, the second, third,
fourth, fifth, sixth, seventh, eighth and ninth appellants held military commissions in the
Tanzania Peoples' Defence Forces, that is TPDF.

At the time material to this case in 1982, the second appellant was stationed in a tank unit in Dar es Salaam, whereas the third appellant was pursuing higher studies at Dar es Salaam University. He was in his final year reading for a BA degree in Political Science.

The fourth appellant was a pilot in the TPDF Airwing at Ukonga in Dar es Salaam, and so were the fifth and sixth appellants. As far as the seventh appellant is concerned, he was in the Air Defence Regiment and was in charge of Battery No 2 in Dar esSalaam; similarly, the eighth appellant was in the same regiment as Chief Engineer.

As for the ninth appellant, he happened to be stationed in a military unit at Nachingwea, but was in Dar es Salaam in December 1982. All appellants are Tanzanians by nationality.
Thereafter, during the same month of December 1982, the first appellant and the fourth
appellant visited Zanzibar on several occasions. At about this time the first appellant received a number of guests at house No 80B Drive-In.

He, and a number of friends, also used to visit a house at Kinondoni Mkwajuni, that is, house No 65--32P along Livingstone Street in Dar es Salaam, where he and his friends used to have lunch and indulge in heavy drinking. That house belonged to PW38, that is, Zahara Abdulla Sengumba, who rented it from the National Housing Corporation. She was in some way related to the first appellant.

She had agreed to allow the first appellant and his friends to have their lunch there as and when they wished. For most of the time, material to this case, the first appellant travelled in the city by taxi which he hired from PW1, that is, Abdallah Mhando. Towards the end of December 1982, the first appellant hired another taxi driven by PW45, that is, Nassor Sultan Seif, apparently because PW1 had travelled outside the country to Harare in Zimbabwe.

During this time, Pius Lugangira alias Father Tom was not sitting idly by at Motel Agip, but made a number of contacts in the city, including a visit to house No 1127 Chole Road at
Source: IFRA Press Archive
Hatibu Gandhi alias Captain Hatty Macghee; others were Captain Christopher Kadego alias Chriss; Lieutenant Eugene Maganga; Captain Metusela Suleiman Kamando; Captain Vitalis Gabriel Mpunda; Captain Rodrick Roushan Roberts; Captain Dietrich Oswald Mbogoro; Captain Zacharia Hanspoppe and P3794 Lieutenant Badru Rwechungura Kajaja. Mr McGhee was subsequently returned to Tanzania in exchange for two Kenya Air Force men whowere in Tanzania as political refugees
 
Id Amin na yeye aliyafuata haya ya nadharia unayozungumzia hapa? Akina Mobutu, je? Na wengi wengine.
Uwe unasoma na kuelewa ndipo ujibu sio unasoma na kukurupuka kujibu.

Idd Amin alipindua serikali kwa kutumia kuhaini hakuna na ndio maana alipoingia akawa dikteta. The same kwa hao wengine umetaja. Na ndio madhara ya kutochukua serikali ikiwa mikononi mwa raia au kuchukua katika mazingira ambapo raia wote hawajaridhia.
Hizi elimu za kukariri vitabuni bila hata ya kuzichenjua zilete maana ni matatizo makubwa sana kuhusu elimu yetu siku hizi!
Una uhakika na ulichoandika hapa?
 
Back
Top Bottom