Uliona wapi "raia wote wanaridhia" jambo lolote lile?
Unajua maana ya neno majority? Mfano tupo watu 1,000 watu 600 wakisema wanataka jambo fulani lipite ndilo litapita, ila ni watu wote walitaka jambo lipite?
Hapa tanzania raia wote wanasapoti CCM, na je kwa hali ya sasa unavyoona, raia wanataka nini by majority?
Kiujumla, jibu lako hapa linanionyesha upeo mdogo ulio nao kuhusu haya maswala. Unahoji uwezo wangu wa kusoma na kuelewa. Ulitaka nieleweje, unavyotaka wewe?
Sio kama na bragg ila kwa kifupi ni hauna intellectual capacity ya kuninyamazisha otherwise utakachofanya ni kukashifu tu hapa na haita fanya kazi. Kama umeshindwa tu kubaini ninachosema then how good are you kwenye elimuu ya uraia kama haujui vitu vidogo kama Marshall law procedures na Civilian responsibility during corrupted and failed regime?
Wewe unadhani JWTZ wapo kimya kwasababu wanalipwa kukaa kimya,umemsikiliza vizuri yule askari aliyezungumza?
JWTZ wanaanzaje kuingia na kutake over wakati raia hawajafanya initiative yoyote? Ina maana wao ndio wanatwaa mamlaka toka kwa raia badla ya kupewa usimamizi na raia baada ya raia kutwaa mamlaka yao kutoka kwa wale waliowapa.
Educated yourself badala ya kuja kunichallenge na haujui jambo lolote.
Soma tena ulicho andika hapo kuhusu Idd Amin, kama utaelewa ulicho kiandika mwenyewe.
Historia ya Idd Amin naifahamu. Alikuwa askari jeshi cheo cha Major general , tarehe 25, January ya mwaka 1971 wakati Rais Milton Obote amekwenda Singapore kuhudhuru kikao cha Commonwealth,idd Amin dada akisaidiwa na askari wachache wasio waaminifu kwa katiba na raisi aliyepo kikatiba walipindua serikali na kutangaza mamlaka ya kijeshi.
Motives za idd Amin zilikuwa ni za kipumbavu tu hakuwa na clear Patriotic motives na ndio maana kila raisi wa wakati ule alimkana na kumuona msaliti sababu Obote hakuwa rais mbaya na alikuwapo kwa mujibu wa katiba, idd amini alikuwa na tamaa ya madaraka na kwasababu hakuweza yapata kupitia sanduku la kura alitumia mabavu ya kijeshi.
Ndio maana hakukaa sana akapinduliwa na raia wa Uganda majority hawakuwa wakimpenda hata kidogo sababu alitawala kimabavu
Sasa unataka kufananisha state ya Uganda na hapa tanzania?
Kama vitu hauelewi uwe unauliza. Unaona kinachotokea Nepal, hicho ndicho unaweza fananisha na Tanzania but not Uganda.