Je wananchi hawaiamini serikali licha ya kuambiwa waendelee na shughuli zao lakini wengi wameogopa?

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Siku imeisha!

Tayari imeingia siku ya jumatano.
Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu.

Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji makubwa zilikuwa zimefungwa huku movements za watu na magari zikipungua kwa kiasi kikubwa.

Swali; je wananchi hawaamini matamko ya serikali mpaka washindwe kutoka na kuendelea shughuli zao licha ya hakikisho la kiulinzi na kiusalama?

Je remark hiyo vyombo vya dola na serikali inaichukuliaje na imejiandaje kuhakikisha haijirudii tena wakati mwingine?

Kwa sababu naamini mojawapo ya mambo ambayo sasa serikali itajipa kazi kulitatua ni kuhakikisha imani ya wananchi kwenye vyombo vya usalama na serikali inarejea

Kwamba serikali ikisema ni salama wananchi wanaamini ni salama

Fikiria serikali ya Iran ilipotoa tamko kwa wananchi wakalinde miundombinu yao ya kimkakati ambayo Marekani kupitia Donald Trump walitangaza watailipua. Wananchi Wairan wakajitokeza kwa wingi kuitikia wito wa serikali.

Je kwa hali ilivyo, nchi yetu. Wananchi kama wanaambiwa watoke waendelee na shughuli zao na hawatoki. Hii inatupa picha gani?

Mjadala Mezani.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hivi unakuwa seriously na huyu
Screenshot_20260707-185627.png
 
Mwanasiasa haaminiki,, utakutwa mtaani utalimwa bomba na utaingizwa kwenye orodha na huna la kufanya..
 
Kwenye hii movie starring hajulikani adui hajulikani

Wote ukikutana nao wanakupiga kimasikhara
 
Siku imeisha!

Tayari imeingia siku ya jumatano.
Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu.

Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji makubwa zilikuwa zimefungwa huku movements za watu na magari zikipungua kwa kiasi kikubwa.

Swali; je wananchi hawaamini matamko ya serikali mpaka washindwe kutoka na kuendelea shughuli zao licha ya hakikisho la kiulinzi na kiusalama?

Je remark hiyo vyombo vya dola na serikali inaichukuliaje na imejiandaje kuhakikisha haijirudii tena wakati mwingine?

Kwa sababu naamini mojawapo ya mambo ambayo sasa serikali itajipa kazi kulitatua ni kuhakikisha imani ya wananchi kwenye vyombo vya usalama na serikali inarejea

Kwamba serikali ikisema ni salama wananchi wanaamini ni salama

Fikiria serikali ya Iran ilipotoa tamko kwa wananchi wakalinde miundombinu yao ya kimkakati ambayo Marekani kupitia Donald Trump walitangaza watailipua. Wananchi Wairan wakajitokeza kwa wingi kuitikia wito wa serikali.

Je kwa hali ilivyo, nchi yetu. Wananchi kama wanaambiwa watoke waendelee na shughuli zao na hawatoki. Hii inatupa picha gani?

Mjadala Mezani.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hii imedhihirisha kua ile 98% ina walakini mkubwa sana wale watu 32 million waliojitokeza kupiga kura wanaishi wapi?
 
Samahani mkuu.
Naomba nikujibu kwa hii katuni yenye maana kubwa sana.
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.
Watanzania wanajua mambo yite ya police, Ubaya wote.
Rushwa, Dhuruma, uonevu, Kesi za Simu, Milolongo, nk
Police wako mbali mno na Raia.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya October 29.
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyonbo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi akina Lissu za Uongo.
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauajibya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyonbo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
Siku imeisha!

Tayari imeingia siku ya jumatano.
Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu.

Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji makubwa zilikuwa zimefungwa huku movements za watu na magari zikipungua kwa kiasi kikubwa.

Swali; je wananchi hawaamini matamko ya serikali mpaka washindwe kutoka na kuendelea shughuli zao licha ya hakikisho la kiulinzi na kiusalama?

Je remark hiyo vyombo vya dola na serikali inaichukuliaje na imejiandaje kuhakikisha haijirudii tena wakati mwingine?

Kwa sababu naamini mojawapo ya mambo ambayo sasa serikali itajipa kazi kulitatua ni kuhakikisha imani ya wananchi kwenye vyombo vya usalama na serikali inarejea

Kwamba serikali ikisema ni salama wananchi wanaamini ni salama

Fikiria serikali ya Iran ilipotoa tamko kwa wananchi wakalinde miundombinu yao ya kimkakati ambayo Marekani kupitia Donald Trump walitangaza watailipua. Wananchi Wairan wakajitokeza kwa wingi kuitikia wito wa serikali.

Je kwa hali ilivyo, nchi yetu. Wananchi kama wanaambiwa watoke waendelee na shughuli zao na hawatoki. Hii inatupa picha gani?

Mjadala Mezani.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Sabasaba was a public holiday
 
Back
Top Bottom