Je, wanasiasa wa Kanda ya Ziwa wanahujumiwa?

Punguzeni chuki na ubinafsi dhidi ya jamii fulani hata humu watu walio comment negative wote ni wachaga, chuki hazitawasaidia.
Hatuna na chuki na jamii yoyote ile,ila inapotokea kiongozi katokea katika jamii fulani na akafanya vitu vya ovyo lakini akabebwa na uwingi wa kabila lake basi hiyo jamii kusafishika huchukua muda.
 
Umewajuaje walio comment kuwa ni wachaga kwa 90%?
Wachaga ukiwa nao huwa lazima wajitutumue kuwa ni bora kuliko wewe ambaye sio Mchaga!
Wakiona duka zuri lazima aulize la Mchaga? Very stupid people!
Hawapendi Maendeleo ya wengine na wana inferiority ya ajabu!
Hata propaganda za Makonda mbaya mara Makalio wengi wao ni hao lakini Wasukuma wala hawanaga mda nao kila mtu anasaka bingo zake!
 
Umeulizwa swali, umejuaje negative comments zinatolewa na wachaga?

Na pili kila mwanasiasa nchi hii huwa anapondwa na kuna wanaomsifia, Samia anapondwa, Mwigulu anapondwa, Makamba, Zitto, Lissu, Mbowe, n.k kwa nini unaona tu wasukuma ndio wanaopondwa kama sio wewe mwenye inferiority compex?
 
Kamuulize Mbowe au Mama yako!
 
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao

Kwanini wanasiasa wanatokea kanda ya ziwa ndio wanaonekana wabaya?
Na watu wanaotumika ni wale wale wanajificha kwenye kichaka cha kutetea demokrasia
Ni chuki tuu za wivu, dhidi ya mafanikio yao!, kwasababu hawa jamaa ni wachapaka kazi sana!. Na sio wanasiasa tuu, hata... naomba nisimalizie
P
 
Una element na DNA za ushoga tako la mwanaume mwenzako unatesekea nalo la nini? tako lake linazuia kuwa kiongozi bora? Nyie watu mna shida gani?
Siyo kawaida mwanaume kuwa na makalio makubwa kama ya Makonda. Kibayolojia makalio yakiwa makubwa maana yake ubongo unakuwa mdogo kama uduvi.
 
Ni chuki tuu za wivu, dhidi ya mafanikio yao!, kwasababu hawa jamaa ni wachapaka kazi sana!. Na sio wanasiasa tuu, hata... naomba nisimalizie
P
Unajua kuna watu wanaojiona first Class full kujitutumua!
Maisha hayana mbabe wake na kila jamii Inapambana kivyake!
Kuna mchungaji wao Kimaro alikuja Mwanza akaanza kusifia watu wa Mwanza mara anataja Wahaya wana akili sana mara Wakerewe wanamaprofesa na ndo maana Mwanza ni sehemu nzuri!
Hakudiriki kutaja wasukuma maana ndo threat yao kubwa!
Mda wao Ulishaisha na bila kuwa na?mzizi kanda ya Ziwa chama Chao Watasubiri sana!
 
Ingekuwa Kuna chaguzi za haki hiki usemacho kingekuwa na maana, ila sio kwa chaguzi hizi za kishenzi, na magufuli alikuwa kinara wa hizo chaguzi za kihayawani.
 
kumbe tatizo sio Magufuli sio? Nyinyi vichwa maji wa Chadema ni wapuuzi sana hasa mkikutana makaburini migombani huko!
 
Wewe na account yako fake huna lolote! Hao watajwa wanakuzidi maisha wewe endelea kuumia tu!
Umejuaje wananizidi maisha? Halafu Mimi sio muumini wa ajira za kujikomba, Niko vizuri bila kutegemea kujikomba kwa yoyote.
kumbe tatizo sio Magufuli sio? Nyinyi vichwa maji wa Chadema ni wapuuzi sana hasa mkikutana makaburini migombani huko!
Acha kupanick dogo, hili game halihitaji hasira.
 
Umejuaje wananizidi maisha? Halafu Mimi sio muumini wa ajira za kujikomba, Niko vizuri bila kutegemea kujikomba kwa yoyote.

Acha kupanick dogo, hili game halihitaji hasira.
Hao wewe unadhani wanategemea hizo teuzi? Wewe hao akina mnyeti hata bila nyazifa huwafikii kwa lolote!
 
Wangekuwa wananizidi wasingeenda kutetemekea ajira za kujipendekeza. Mbona Mimi kwangu Niko vizuri kiasi sioni haja ya kujipendekeza kwa yoyote?
 
Back
Top Bottom