Je, wanasiasa wa Kanda ya Ziwa wanahujumiwa?

Minority ndio ujinga gani?. Kama mna agenda ya ukabila pelekeni Usukumani huko. Na ni nani kasema Mara na Kagera ni minority?. Ondooeni ukabila wenu huko.
Hao Mara na Kagera ni kanda ya Kasikazini?
 
Hii mijamaa mijinga kweli. Inapenda kutaja Kanda ya Ziwa ikimanisha Usukumani, halafu kwa dharau wanadhani wataiburuza Mara na Kagera kwenye ujinga wao. Mtu anasema Mara na Kagera hamna ushawishi kwenye Kanda ya Ziwa make kimya. Very stupid.
Kagera na Mara ni kanda gani?
 
Kanda ya ziwa ni sawasawa na maji. Usipoyaoga utayanywa tu na hata kuyanawa. Ni wengi mno na bila kupata kura zao huwezi kutoboa. Ndiyo maana mama anahangaika japo kwa Biteko sidhani kama itamsaidia maana jamaa hana bashasha (charisma) kabisa. Afadhali hata angempa Dr. Kalemani au Luhaga Mpina....

Nilikuwa Lamadi juzi Makonda alipopita. Kulikuwa na atmosphere sawa na ile ya enzi za Magufuli na watu wanaonekana kumkubali.

Hao wa mtandaoni we usiwajali maana siyo wapiga kura. Wapiga kura wapo huku vijijini....
Cha ajabu huyo magufuli ilipofika wakati wa uchaguzi akanajisi uchaguzi. Sasa sujui alikuwa haiamini hiyo kanda ya ziwa?
 
Wachaga ukiwa nao huwa lazima wajitutumue kuwa ni bora kuliko wewe ambaye sio Mchaga!
Wakiona duka zuri lazima aulize la Mchaga? Very stupid people!
Hawapendi Maendeleo ya wengine na wana inferiority ya ajabu!
Hata propaganda za Makonda mbaya mara Makalio wengi wao ni hao lakini Wasukuma wala hawanaga mda nao kila mtu anasaka bingo zake!
Your right boss, ni watu ambao kila kizuri wanatamani kiwe chao so stupidy aiseee
 
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa kama wanavyofanya Zitto Kabwe kule Kigoma, Freeman Mbowe kanda ya kaskazini au alivyokuwa marehemu Maalim Seif alivyokuwa anatawala siasa za Zanzibar?

Au kuna agenda maalum ya baadhi ya wanasiasa kuitumia kanda ya ziwa kwa manufaa yao ya kisiasa kwa kuwaathiri wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwasababu tumeona alivyoteuliwa Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati na Paulo Makonda kuwa mwenezi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na nyuzi mbalimbali za kuwashambulia na wanaofanya kazi hiyo ni wale wale waliotumika kushambulia utawala wa hayati Rais Magufuri kwa viongozi walioteuliwa kutoka kanda ya ziwa.

Ukiangalia mitandao ya kijamii kama X(tweeter) asilimia kubwa za nyuzi zinazofunguliwa ni vita dhidi ya wanasiasa wa kanda ya ziwa sio Makonda na Dotto pekee bali wanasiasa wote wanatokea kanda ya ziwa wanaoonekana wana nguvu fulani ya kisiasa.

Ndio maana nauliza kuna ajenda mahususi kwa ajili ya kuwadhoofisha wanasiasa wanaotokea kanda ya ziwa?

Kwanini wanasiasa wanatokea kanda ya ziwa ndio wanaonekana wabaya?
Na watu wanaotumika ni wale wale wanajificha kwenye kichaka cha kutetea demokrasia lakini ukifuatilia kwa makini nyuzi zao zitawahusu wanasiasa wa kanda ya ziwa kuwadhoofisha kisiasa wasipate nguvu.
Genius people !!🙏🙏😂
 
Haya ni mawazo ya hovyo kabisa asee
Yaani Kanda yote ya Ziwa umewaona Dotto na Bashite?
Huwezi kutumia watu wawili kujiridhisha kuwa wote wanachukiwa sio kweli
Mbona Mpina hasemwi si anatoka Kanda ya Ziwa?
 
Ombwe la kufirisika kisiasa ndio ninaoliona hapa, watu wanaanza kuangalia ukanda kama kinga/nyenzo ya kujizatiti kisiasa. Mfano ni huyu mleta mada. Kakosa mwelekeo kisiasa kumweka mtu wake pahala salama sasa kaamua kulukia ukanda kama njia ya kujirinda.
Shenzi kabisa nukta
 
Shenzi kabisa nukta kubwa
Kanda ya ziwa haiwezi kukosa mwelekeo
 
Back
Top Bottom