Je, wanasiasa wa Kanda ya Ziwa wanahujumiwa?

Minority ndio ujinga gani?. Kama mna agenda ya ukabila pelekeni Usukumani huko. Na ni nani kasema Mara na Kagera ni minority?. Ondooeni ukabila wenu huko.
Hao Mara na Kagera ni kanda ya Kasikazini?
 
Hii mijamaa mijinga kweli. Inapenda kutaja Kanda ya Ziwa ikimanisha Usukumani, halafu kwa dharau wanadhani wataiburuza Mara na Kagera kwenye ujinga wao. Mtu anasema Mara na Kagera hamna ushawishi kwenye Kanda ya Ziwa make kimya. Very stupid.
Kagera na Mara ni kanda gani?
 
Cha ajabu huyo magufuli ilipofika wakati wa uchaguzi akanajisi uchaguzi. Sasa sujui alikuwa haiamini hiyo kanda ya ziwa?
 
Your right boss, ni watu ambao kila kizuri wanatamani kiwe chao so stupidy aiseee
 
Genius people !!πŸ™πŸ™πŸ˜‚
 
Haya ni mawazo ya hovyo kabisa asee
Yaani Kanda yote ya Ziwa umewaona Dotto na Bashite?
Huwezi kutumia watu wawili kujiridhisha kuwa wote wanachukiwa sio kweli
Mbona Mpina hasemwi si anatoka Kanda ya Ziwa?
 
Ombwe la kufirisika kisiasa ndio ninaoliona hapa, watu wanaanza kuangalia ukanda kama kinga/nyenzo ya kujizatiti kisiasa. Mfano ni huyu mleta mada. Kakosa mwelekeo kisiasa kumweka mtu wake pahala salama sasa kaamua kulukia ukanda kama njia ya kujirinda.
Shenzi kabisa nukta
 
Kanda ya ziwa haiwezi kukosa mwelekeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…