Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,066
Fafanua tafadhariBaadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
Baadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
3.Kutokulia na kutosema mambo yetu...sote tunajua nafuu tunayopata tukiwa katika matatizo kisha tukalia au kushea matatizo yetu na wengine.....wanaume almost hatulii au kushea matatizo yetu tunakufa nayo wenyewe tu!!!kama wanaume tunahitaji kuishi zaidi inabidi tujifunze kulia hata kama utakuwa umejichimbia chumbani
CHAKULA...NO CHUMVI..NO SALT...NO SUGAR...NO SUKARI..NO NYAMAS AND HAWALI MAFUTAS....PIA MAZOEZI...NA KUNYWA A LOT OF MAJISOk vidume twafa haraka tatizo kila siku mashori wenye mikia wanaongezeka.We die like thorn birds.
Jlo na LL Cool J mfano mbona hawazeeki?I wish i could have such kind of gene.Born 1960s but look at 'em.
Ni kweli kabisa. na kwa kuongezea wanaume wanazeeka mapema sababu ya kutembea na wanawake wengi. utakuta jamaa ana mke na mahawara kibao..too much sex inazeeshaHili nalo neno aisee!
Ni ngumu sana kufunga mkataba wa kuishi milele na mtu mliyekutana tu ukubwani,akiwa na malezi na makuzi tofauti,then muanze kuishi nyumba moja,unashinda naye mchana na jioni,aanze kukucommand na ku-dictate matumizi ya hela yako utadhani alikusomesha yeye,aanze kukuzuia usiwasaidie wazazi waliokusomesha na ndugu uliosota nao na kukulazimisha upende ndugu zake utadhani unawafahamu,upende wazazi wake utadhani walikuzaa na wewe.ujali zaidi shida za ukweni,akusimulie story na shida za nyumbani kwao na ategemee u-pay attention na kuchangia ushauri wakati wewe ukimsimulia za kwenu hana hata interest kusikia,akuchagulie marafiki na kila siku umjulishe umekaa baa gani na huko na nani na kwanini hurudi nyumbani haraka etc etc etc kwa kweli ndoa ni shida sana hasa hasa ukioa mwanamke anayejiona kasoma ni shidaaaBaadhi ya wanaume wanakufa kwa stress za kujitakia...wanagubu...vinyongo visivyoisha...kutoweza kusamehe...kuweka vitu moyoni(wanajidai wana siri sana hawataki kuelezea matatizo yao). Kwa mtindo huo magonjwa ya moyo na mengineyo lazima yakuandame.
Hacha vingast wafaidiNi muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K
Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.
Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.
Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?
Nawasilisha!
=========
Chris Mauk anasemaje?
Cc: msemNi muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K
Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.
Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.
Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?
Nawasilisha!
=========
Chris Mauk anasemaje?
mkuu unawaza mbali yan inshort ni ki relax tuu na kuomba uzima Mungu akuepushe na magonjwa maana wanawakke wengine ni kama mapori kuna kila aina ya viumbe.Siwezi kufa kwa stress, japo najua atakuwa anamegwa tu huko kandokando kivyake.
Soma elimu ya genetics. Mambo ya chromosomes; XX na XY utaelewa udhaifu wa kimaumbile badala ya frustration unazotaja.Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K