Hilo ndio jibu la swali hapo juu??jiulize ni kwanin mwanamke anawahi kuzeeka kuliko mwanaume
Shalom wana jamvi!
Nimetafakari mwenyewe naona kama majibu hayakuji, au kuna maandiko pengine yanasema mwanaume atakufa mapema kuliko mwanamke? Kuna wengine nimepata kusikia wanasema eti mwanaume akipiga bao moja anapoteza dakika 3 za kuishi na wanasema hiyo ni kisayansi naamini humu wanasayansi wapo wengi watanitoa tongo tongo.
Ukitazama katika jamii wanawake waliofiwa na waume zao ni wengi kuliko wanaume waliofiwa na wake zao, hiyo imekuwa kama kawaida hivi hata wanawake katika kusisitiza waume zao kuwekeza katika assets huwa wanatumia msemo wa "Baba chanja kuna Leo na kesho usijetuacha tukawa tunateseka". Sasa hebu tuambiane ni kisayansi, kimaandiko au ni mazingira yanapelekea mwanaume anakufa mapema kuliko Mwanamke????
Karibuni kwa hoja
Hahaha kwahiyo tunakufa kwa mengikuanzia pesa,kujenga familia,mapenzi na kazalika kila kitu ni wewe.nani mwanaume kwa nini usife mapema
alafu ukiongeza na mchepuko duuu
Kuchepuka ndo kunamfanya mwanaume afe mapema? Unamaanisha kila wanaume anayekufa basi mchepuko umemfanya atangulie??Ni kwa sababu mwanaume anachepuka sana, so anajitengenezea sumu bila kujijua
Na madereva wengi wanaosababisha ajali ni wanaume piaKazi ngumu na mahangaiko ya dunia yako sana kwa wanaume, jaribu kuchunguza hata ajali ikitokea wanaokufa sana ni wanaume
Wanawake hawana michepuko? Mbona wao hawafi mapema kama sababu ni michepuko?Wanaume wanakufa mapema kwa sababu ya michepuko/ nyumba ndogo.
Ndio, fanya utafiti utagunduaKuchepuka ndo kunamfanya mwanaume afe mapema? Unamaanisha kila wanaume anayekufa basi mchepuko umemfanya atangulie??
Eti eeeTunakufa kwa kuweka vitu moyoni Mara nyingi vinatumaliza kimya kimya
Nimsaidie wewe wanawake hawana michepuko??Ndio, fanya utafiti utagundua
Kwahiyo kinachowaua wanaume ni kuto kuwa wasiri katika michepuko yao?Wapo lakini ni wachache mkuu, na hufanya kwa siri sana
Baadhi ya wanawake wengi wana mambo ya kishirikina sasa ww mwanaume unaacha kutulia ndani ya ndoa yako unahangaika na nyumba ndogo ndo mwanzo wa kupewa malogo hayo.Wanawake hawana michepuko? Mbona wao hawafi mapema kama sababu ni michepuko?