Mkuu jaribu kutulia na kufikiri kidogo utakubaliana na mimi, 80% Wanaume wanakufa kwa ajili ya kuwa na wapenzi wengiKwahiyo kinachowaua wanaume ni kuto kuwa wasiri katika michepuko yao?
Umeegemea upande mmoja michepuko umeanza Leo?Baadhi ya wanawake wengi wana mambo ya kishirikina sasa ww mwanaume unaacha kutulia ndani ya ndoa yako unahangaika na nyumba ndogo ndo mwanzo wa kupewa malogo hayo.
Heee kumbe kuoa aliyekuzidi umri kuna madhara eee?? Heb fafanua vizuriPia wanaume wengi huoa wake waliowazidi uumri
Kutokana na niliyoyashuhudia mpaka kufika umri huu.Umeegemea upande mmoja michepuko umeanza Leo?
Utafiti gani? Nenda kwenye jamii wamachame angalia idadi ya wanaume na wanawake kama iko sawaThibitisha kwa utafiti!!
Sawa kwahiyo kwako linalowaua wanaume mapema ni michepuko et eee wanaume mmesikia hapaKutokana na niliyoyashuhudia mpaka kufika umri huu.
Sasa kinachomuua mwanaume ni nini? Au basi tuseme mapenz kwa mwanaume yana athari au?hata km wanawake wana michepuko hawawezi kufa mapema maana kimaumbile wao kimapenzi mpambanaji ni mwanaume mwanamke ni kipa tu
Tena waambie wasikie kabisa maana mwanzo wa nyumba ndogo ndo mwanzo wa majukumu mengine na ndo mwanzo wa stress.Sawa kwahiyo kwako linalowaua wanaume mapema ni michepuko et eee wanaume mmesikia hapa
Asante mkuu umeeleza vema ninakubaliana na wewe kwa hizo sababuRisk taker..
angalia kazi tuzifanyazo wanaume nyingi ni risk,kazi ngumu.. maisha yetu yanakuwa kwenye hatihati ktk pilika za utafutaji wa maisha tupo mstari wa mbele,pia ktk kukabiliana na hatari(mazingira ya hatari) sisi tunahusika sana.. pamoja na tabia wanaume huwa tuna tabia fulani za ubishi,utawala ikitokea umedharauliwa basi vurugu linaanza hivyo lolote laweza tokea.. baada ya kufanya kazi ngumu utapita bar kupiga mbili tatu,sigara kazaa(unaharibu mapafu),huku ukiwa umelewa utaendesha gari,pikipiki n.k ukiteleza kidogo kwaheri..
kiujumla wanaume ni watu tunaokuwa kwenye risk kubwa kushinda wanawake.
Lakin inasemekana kuna na mke mmoja ndio mwanzo wa stress unaliongeleaje hiloTena waambie wasikie kabisa maana mwanzo wa nyumba ndogo ndo mwanzo wa majukumu mengine na ndo mwanzo wa stress.
Wewe ndo utakufa demu wako utamuacha aendelee kuliwa na wanaobakiukifa utuletee mrejesho kwann umekufa mapema kbl ya demu wang
Kwani kuoa ndo kunaleta kifo?Kwasababu wanawake hawaoi..!!
nkifa takuwa tayar nmeondoka na papuchu ake.Wewe ndo utakufa demu wako utamuacha aendelee kuliwa na wanaobaki
NdioKwani kuoa ndo kunaleta kifo?