Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Kwahiyo kinachowaua wanaume ni kuto kuwa wasiri katika michepuko yao?
Mkuu jaribu kutulia na kufikiri kidogo utakubaliana na mimi, 80% Wanaume wanakufa kwa ajili ya kuwa na wapenzi wengi
 
Baadhi ya wanawake wengi wana mambo ya kishirikina sasa ww mwanaume unaacha kutulia ndani ya ndoa yako unahangaika na nyumba ndogo ndo mwanzo wa kupewa malogo hayo.
Umeegemea upande mmoja michepuko umeanza Leo?
 
hata km wanawake wana michepuko hawawezi kufa mapema maana kimaumbile wao kimapenzi mpambanaji ni mwanaume mwanamke ni kipa tu
 
hata km wanawake wana michepuko hawawezi kufa mapema maana kimaumbile wao kimapenzi mpambanaji ni mwanaume mwanamke ni kipa tu
Sasa kinachomuua mwanaume ni nini? Au basi tuseme mapenz kwa mwanaume yana athari au?
 
Sawa kwahiyo kwako linalowaua wanaume mapema ni michepuko et eee wanaume mmesikia hapa
Tena waambie wasikie kabisa maana mwanzo wa nyumba ndogo ndo mwanzo wa majukumu mengine na ndo mwanzo wa stress.
 
Asante mkuu umeeleza vema ninakubaliana na wewe kwa hizo sababu
 
Tena waambie wasikie kabisa maana mwanzo wa nyumba ndogo ndo mwanzo wa majukumu mengine na ndo mwanzo wa stress.
Lakin inasemekana kuna na mke mmoja ndio mwanzo wa stress unaliongeleaje hilo
 
Nadhani ni kwasababu wanaume wengi wanafanya kazi za hatari ukilinganisha na wanawake.

Pia wanaume wengi wanaofiwa na wake zao huoa tena tofauti na wanawake waliopoteza waume.
 
Mwanaume anakufa mapema kwa sababu

1,Mapenzi

Wanaume wanasiri sana ambayo huwakaa moyoni kwa muda mrefu bila kusema tofauti na wanawake
Mwanaume akipata taarifa mbaya juu ya mke wake either kumsaliti au kitu kingine hawezi akahoji na hukaa na kinyongo hicho kwa muda mrefu ambapo huongeza sumu katika moyo wake

2, Kulia

Mwanaume halii hata kama amepata dhoruba kubwa,ni wachache sana wanaolia tofauti na mwanamke akitikiswa kidogo huanza kulia..
Hii inamuondolea mwanamke sumu mwilini na huku mwanaume akikusanya sumu

3, shughuli za kiuchumi kwa asilimia kubwa humtegemea mwanaume
Kama kujenga,kusomesha,kula kuvaa kwa familia na hivyo hutumia muda kuwaza mambo hayo tofauti na mwanamke hata kama ana mshahara mkubwa yeye hutegemea mambo mengi kufanywa na mwanaume,hela ya mwanamke ili aitoe endapo atakuona umeshindia sebuleni,na huna hela hata ya kuendea mjini,kwa nini mwanaume asife?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…