Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

iyo ya kupiga bao unapoteza dakika moja mweeeeee.....usinifanye nikaacha ku.tomb.a mie
 
Nadhani ni kwasababu wanaume wengi wanafanya kazi za hatari ukilinganisha na wanawake.

Pia wanaume wengi wanaofiwa na wake zao huoa tena tofauti na wanawake waliopoteza waume.
Kweli mkuu
 
Sio umachamen tu na sehem zingine sijaspecify kwenye post yangu, ila kiuhalisia wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake tiririka na hoja hiyo
Hoja nakubaliana nayo ila hilo la kuspecify ndo sikubaliani nalo.
 
Asante mkuu umefafanua vizuri kabisa
 
Zipo sababu nyingi sana ila mojawapo ni hii utakuta mwanaume ana stress kwenye ndoa yake yy anaona soln ni kutafuta mchuchu amliwaze kumbe hapo ndo mwanzo wa matatizo mengine.
Kama yapi? Ukimwi au
 
Kama yapi? Ukimwi au
Hilo gonjwa ni mojawapo, watoto wapya kuzaliwa, yote tisa kumi usiombee uwe na pesa mchepuko ndo utaanza kuzunguka kwa waganga ili uhamie kwake kabisa utalogwa hadi kinyesi chako na familia yako utaisahau.
 
Sio kweli jinsia watu wanakufa ila kwa kua wanaume huoa wanawake wadogo hivyo tunatangulia kabla ya wake zetu. Zaidi ya 95% ya wanaume waliooa wamewazidi umri wake zao. Unakuta mtu kamzidi mke wake miaka 10 mpka 20 af akitangulia tuseme kawahi kufa sababu ni mwanaume?
 
Heee kumbe kuoa aliyekuzidi umri kuna madhara eee?? Heb fafanua vizuri
Hii ni kwa wanandoa wanaofariki wakiwa umri umeenda Mara nyingi kama mama ana 65-70yr jua Mme ana 80-90yr sasa hapo ujue miaka ikienda maradhi yanaongezeka hivyo Obviously tu mwaume atawahi kufa tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…