Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Hapa inategemeana ila si wotePia wanaume wengi huoa wake wenye umri Mdogo zaidi yao
Hapa inategemeana ila si wotePia wanaume wengi huoa wake wenye umri Mdogo zaidi yao
Na jamii vilevile inamuhitaji kwenye ulinzi na usalama bila kusahau yeye ndiyo nguvu kazi ya jamii kwa sehemu pana.Ukizaliwa mwanaume ujue kila kitu ni kwako.
-kumtunza mke ww
-kutunza watoto ww
-kusomesha ww
- kumridhisha mke ww
- ndugu wanakuangalia ww
- pesa ww
- matibabu usimamie ww.
Na vingine vingi. Kwann usife mapema
Hapana da lu hii theory haijakamilika kabisa maana si kwa wanaume wote. Mnapo ishi pamoja kuna changamoto kama kipato kidogo, mume kupoteza kazi, magonjwa.Tena waambie wasikie kabisa maana mwanzo wa nyumba ndogo ndo mwanzo wa majukumu mengine na ndo mwanzo wa stress.
Kufa mapema zaidi kwa wanaume kuliko wanawake ni demographic dimorphism ambayo iko ulimwenguni kote na siyo kwa sababu ya michepuko au sababu nyingine yo yote. Ukianzia kuzaliwa utaona kwamba katika watoto wanaozaliwa katika mwaka mmoja wavulana huwa wengi zaidi kuliko wasichana kwa takriban wavulana 105 kwa kila wasichana 100. Hii ni ulimwenguni kote. Sasa ukifuatilia mortality rate ya wanaume inakuwa juu zaidi kwa miaka yote isipokuwa labda katika miaka ya uzazi (miaka 15-49) ambapo wanawake huenda wakafa wengi zaidi kutokana na vifo vinavyoandamana na uzazi (maternal mortality). Kwa hiyo nature imefanya ku-balance vitu. Nasisitiza hii ni kwa ulimwengu wote na siyo Tanzania tu. Hata Ujapani ambako ndiko life expectancy iko juu zaidi ya nchi nyingine yo yote wanawake wanaishi miaka mingi zaidi ya wanaume. Ulimwenguni kote kwa wastani kuna more widows than widowers.Shalom wana jamvi!
Nimetafakari mwenyewe naona kama majibu hayakuji, au kuna maandiko pengine yanasema mwanaume atakufa mapema kuliko mwanamke? Kuna wengine nimepata kusikia wanasema eti mwanaume akipiga bao moja anapoteza dakika 3 za kuishi na wanasema hiyo ni kisayansi naamini humu wanasayansi wapo wengi watanitoa tongo tongo.
Ukitazama katika jamii wanawake waliofiwa na waume zao ni wengi kuliko wanaume waliofiwa na wake zao, hiyo imekuwa kama kawaida hivi hata wanawake katika kusisitiza waume zao kuwekeza katika assets huwa wanatumia msemo wa "Baba chanja kuna Leo na kesho usijetuacha tukawa tunateseka". Sasa hebu tuambiane ni kisayansi, kimaandiko au ni mazingira yanapelekea mwanaume anakufa mapema kuliko Mwanamke????
Karibuni kwa hoja
Pamoja kaka magacha. Embu angalia majukumu haya yote anabeba mwanaume.Mwanaume anakufa mapema kwa sababu
1,Mapenzi
Wanaume wanasiri sana ambayo huwakaa moyoni kwa muda mrefu bila kusema tofauti na wanawake
Mwanaume akipata taarifa mbaya juu ya mke wake either kumsaliti au kitu kingine hawezi akahoji na hukaa na kinyongo hicho kwa muda mrefu ambapo huongeza sumu katika moyo wake
2, Kulia
Mwanaume halii hata kama amepata dhoruba kubwa,ni wachache sana wanaolia tofauti na mwanamke akitikiswa kidogo huanza kulia..
Hii inamuondolea mwanamke sumu mwilini na huku mwanaume akikusanya sumu
3, shughuli za kiuchumi kwa asilimia kubwa humtegemea mwanaume
Kama kujenga,kusomesha,kula kuvaa kwa familia na hivyo hutumia muda kuwaza mambo hayo tofauti na mwanamke hata kama ana mshahara mkubwa yeye hutegemea mambo mengi kufanywa na mwanaume,hela ya mwanamke ili aitoe endapo atakuona umeshindia sebuleni,na huna hela hata ya kuendea mjini,kwa nini mwanaume asife?
Umetaja sababu moja ambayo si ya muhimu.Zipo sababu nyingi sana ila mojawapo ni hii utakuta mwanaume ana stress kwenye ndoa yake yy anaona soln ni kutafuta mchuchu amliwaze kumbe hapo ndo mwanzo wa matatizo mengine.
labda tuseme wanaume tuna mihangaiko mingi ya kijamiiWewe unasemajee? Mambo wengine yanaonekana dhahiri kwenye jamii, kwa mfano mim Babu zangu sijawakuta ila Bibi zangu wote nimewakuta
Umetisha Mzee, wanawake wanahitaji kutuheshimu sanaWanaume ndivyo viumbe ambavyo vinajihusisha na mambo mengi katika jamii. Kuanzia ulinzi(usalama), kiutawala, kiuchumi na mambo mengineyo. Hii hali humpelekea Mara nyingi hujitoa zaidi kwenye mzunguko wake wa maisha mathalani, Kufanya kazi za hatari zaidi. Hali hii humpelekea mwanaume kutumia nguvu kubwa na mambo huwa hayakosi changamoto, matokeo yake humfanya anakuwa na mawazo mengi zaidi. Mawazo mengi zaidi huleta msongo wa mawazo na athari ya kufikiri sana tunaijua, huleta magonjwa ya moyo hufikia pahala mpaka huleta ugonjwa wa kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili.
Kingine sisi wanaume ni viumbe wa kupuuzia vitu/ mambo. Kwenye ulaji tupo hovyo, unywaji wa vinywaji tupo hovyo, kuhusu masuala ya afya ndiyo usipime. Sigara sisi, Shisha sisi, kwenye uendeshaji wa vyombo moto wa hovyo sisi. Sasa unafikiri huyo kiumbe ataishi kwa muda mrefu?
Wengi wamebase eti kwenye michepukoTheory yako ni ya uwongo. Wanaume ni risk takers always. Wapo ambao hawakuwa na mchepuko lakin wamefariki mapema.
Mbali na magonjwa mwanaume ana majukumu mengi. Kumuhudumia mke kitandani kipesa (hapa lazima performance iwe juu lasi hivyo lawama). Kuhudumia familia, watoto waende shule, familia ile kila siku, kufanya maendeleo, matibabu, ndugu wanakuangalia wewe, bado wewe mwenyewe mahitaji yako.
Aloo kwann wasife mapema? Unadhan kuwa mwanaume ni kazi rahis?
Hahahaha hatari sanaKuchunwa pesa a.k.a kupigwa mizinga hutupungizia sisi wanaume miaka ya kuishi
Sijakuelewa kabisa ndugu fafanu vizuriDhambi zinauwa!
Mwanamke ni mfalme kwenye uumbaji!
Mtu mweupe ameitambua hiyo ndiyo maana sheria zao zinalinda sana maslahi ya mwanamke, lakini waarabu, wahindi, wafrika hawaja ifahamu hiyo Siri!
Mwanamke ni wa kuogopewa sana
Sijakuelewa kabisa ndugu fafanu vizuriDhambi zinauwa!
Mwanamke ni mfalme kwenye uumbaji!
Mtu mweupe ameitambua hiyo ndiyo maana sheria zao zinalinda sana maslahi ya mwanamke, lakini waarabu, wahindi, wafrika hawaja ifahamu hiyo Siri!
Mwanamke ni wa kuogopewa sana
Hahaha majukumu ya familia mkuu na pia wanaume wengi wamebeba maumivu sanaFafanua mkuu kwa namna gani? Au ndo hayo ya bao moja unapotez dk 3 au??
Sijakuelewa kabisa ndugu fafanu vizuriDhambi zinauwa!
Mwanamke ni mfalme kwenye uumbaji!
Mtu mweupe ameitambua hiyo ndiyo maana sheria zao zinalinda sana maslahi ya mwanamke, lakini waarabu, wahindi, wafrika hawaja ifahamu hiyo Siri!
Mwanamke ni wa kuogopewa sana