King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
-Wanaume Wengi ni Watafutaji katika familia(% Kubwa ya wanaume ndio watafutaji),so anakuwa mtu wa pilika pilika mara kule mara huku na so anakutana na risk nyingi.
-Kazi hatarishi nyingi ni wanaume ndio wanafanya kuchimba madini,kuchimba mashimo,kazi kwenye mitambo mikubwa etc
-Msongo wa Mawazo(Stress) wa kuimiza kichwa jinsi gani ya kufanya kuendesha familia,Ada,Kodi etc Stress inaleta magonjwa mengi sana.
-Wanaume huwa hawajali afya tofauti na wanawake,mwanamke huwa akisikia mwili kuuma kidogo kashaenda hospitali ila mme akienda hospitali ujue yupo hoi bina taaban,kitendo cha kwenda kupima afya mara kwa mara ukufanya kuweza kugundua ugonjwa kwenye early stage hivyo kuutibu mapema tofauti na ukichelewa.