momara
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 463
- 491
Mkuu kama ni ngoma mbona watalam w afya wanasema wanawake ndo hupata ngoma rahis zaid ya wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama ni ngoma mbona watalam w afya wanasema wanawake ndo hupata ngoma rahis zaid ya wanaume.
ziko sababu nyingi, ambazo zimegawanyika katikaHabar humu ndani. Kama swali linavojieleza, napenda kujua kuhusu vifo vya wanaume. Mifano ni mingi nimeshuhidia wajane wengi waliofiwa na waume zao kuliko wanaume waliofiw na wake zao hasa wale walio anza nao maisha. Baba mzaz amefarik mama yupo, mwalm nyerere hayupo mama maria yupo ninapo ishi wanaume wengi walishatangulia mbele ya haki na wake zao wapo na wanaishi. Embu kama kuna mjuzi hapa achambue kidog pengne kuna sabab nikaweza kuepuka kumuacha mke Wang kw kifo ambacho pengne kinaepukika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Frustration,stress, maangamizi na masumbuko ya dunia, mateso na complications nyingi katika dunia huwa anazibeba mwanaume.ziko sababu nyingi, ambazo zimegawanyika katika
1). maumbile, mwanamke akipata shida ni mwepesi kulia na kutoa uchungu moyoni ila mwanaume atakaza tu hata kusema kwa yeyote hataki.
2). muundo wa maisha, shida zooote za mwanamke ni za mwanaume ila shida za mwanaume ni za mwanaume pekeake. pesa zoote za mwanamke ni zake ila za mwanaume ndio za familia au ni za mwanamke.
3). maradhi, mwanamke ni mwepesi kwenda hospitali tatizo kidogo mwilini ila mwanaume akienda hospitali baaasi lolote laweza kutokea.
hizo ni baadhi tu ya mambo yanayofanya miaka ya mwanaume kupungua kwa kasi .
Duuu balaa. Inamana tutaendelea kufa tu. Mungu atuhurumié sanaziko sababu nyingi, ambazo zimegawanyika katika
1). maumbile, mwanamke akipata shida ni mwepesi kulia na kutoa uchungu moyoni ila mwanaume atakaza tu hata kusema kwa yeyote hataki.
2). muundo wa maisha, shida zooote za mwanamke ni za mwanaume ila shida za mwanaume ni za mwanaume pekeake. pesa zoote za mwanamke ni zake ila za mwanaume ndio za familia au ni za mwanamke.
3). maradhi, mwanamke ni mwepesi kwenda hospitali tatizo kidogo mwilini ila mwanaume akienda hospitali baaasi lolote laweza kutokea.
hizo ni baadhi tu ya mambo yanayofanya miaka ya mwanaume kupungua kwa kasi .
Mkuu niliwaza juu ya hilo pia nikagundua kuwa miaka wanayoish hawa wajane mpaka kufa kwao ni miaka mingi ukilngnisha na umri wa waume zao walipfark. Samahan kama ntakosea kw mfano huu. Tangu afarik mwlm nyerere ni miaka 20 je mama Maria alizidiwa kw miaka 20 na mwlm na still anaishAslimia kubwa wanaume tunaoa wanawake ambao tumewazidi umri, so tunakua na uwezekano mkubwa wa kufa kabla yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chunguza hao wamama wajane, asilimia kubwa wamewaua/ wameshiriki vifo vya wanaume zao. Mwanamke ni kiumbe katili kuliko unavyoweza kufikiria.
Angalia mnapoanza ujenzi, nyumba ikiisha tu, wa kwanza kufa huwa ni mwanaume. Anaondolewa ili mama arithi nyumba na mali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ya sikio kwenye Ubongo kwa mwanaume inachelewa sana kukua kwa mwanamke inakuwa fasted ndio maana wanaume wengi sana wanakufa na accident .ameanguka kifo, sababu nyingine wanaume wanafanya kazi nzito kuliko wanaume ,sababu nyingine wanaume hawaendi hospitali check up au wakiumwa mpaka wawe hoi , sababu nyingine wanasema wanaume can’t handle stress .Stress na mwanaume vitu viwili tofautiHabar humu ndani. Kama swali linavojieleza, napenda kujua kuhusu vifo vya wanaume. Mifano ni mingi nimeshuhidia wajane wengi waliofiwa na waume zao kuliko wanaume waliofiw na wake zao hasa wale walio anza nao maisha. Baba mzaz amefarik mama yupo, mwalm nyerere hayupo mama maria yupo ninapo ishi wanaume wengi walishatangulia mbele ya haki na wake zao wapo na wanaishi. Embu kama kuna mjuzi hapa achambue kidog pengne kuna sabab nikaweza kuepuka kumuacha mke Wang kw kifo ambacho pengne kinaepukika.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa uelewa wangu ,kuiga style flani flani za maisha bila kujua asali/chanzo cha hizo fashion.Baadhi ya style au fashions either mavazi,nywele,urembo ,mafuta ect zinatoka kuzimu,ili shetani(mapepo) yapate makazi,wafuasi na watenda kazi hapa duniani.Na sabbu wanawake ni wepesi kuiga basi tunakamatika kirahisi.nje ya boksi.
ni kwann wanawake wanaongoza kwa kuanguka mapepo kanisan ?
LinkTulisha_Discuss humu na upo uzi wake!