Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Habar humu ndani. Kama swali linavojieleza, napenda kujua kuhusu vifo vya wanaume. Mifano ni mingi nimeshuhidia wajane wengi waliofiwa na waume zao kuliko wanaume waliofiw na wake zao hasa wale walio anza nao maisha. Baba mzaz amefarik mama yupo, mwalm nyerere hayupo mama maria yupo ninapo ishi wanaume wengi walishatangulia mbele ya haki na wake zao wapo na wanaishi. Embu kama kuna mjuzi hapa achambue kidog pengne kuna sabab nikaweza kuepuka kumuacha mke Wang kw kifo ambacho pengne kinaepukika.


Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wanaume binadamu wanaishi miaka. Nyuki dume akifanya mapenzi na nyuki jike tu anakufa. Kwa hiyo nyuki wote hawana baba mzazi 🙂🙂🙂
 
Ki-biobiologia, mwanaume anatokana na chromosome XY na mwanamke ni XX. Chromosome Y ni dhaifu kwa asili yake ukilinganisha na X. Kwa hiyo ile Y kwenye XY ndiyo sababisho la kufa mapema. Ati pia mimba nyingi zinazoharibika ni za watoto wa kiume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar humu ndani. Kama swali linavojieleza, napenda kujua kuhusu vifo vya wanaume. Mifano ni mingi nimeshuhidia wajane wengi waliofiwa na waume zao kuliko wanaume waliofiw na wake zao hasa wale walio anza nao maisha. Baba mzaz amefarik mama yupo, mwalm nyerere hayupo mama maria yupo ninapo ishi wanaume wengi walishatangulia mbele ya haki na wake zao wapo na wanaishi. Embu kama kuna mjuzi hapa achambue kidog pengne kuna sabab nikaweza kuepuka kumuacha mke Wang kw kifo ambacho pengne kinaepukika.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu wanaume wengi hawaishi kutegemeana na hali halisi. Wanakuwa na high expectations hivyo mambo yakienda tofauti na mwtegemeo yao huumia sana na wanapata msongo wa mawazo na kinachofuata ni maradhi na then early deaths. Nadhani pia hawaishi positively. Wanawake wengi wanaweza kustahimili mambo hivyo huweza kumudu haliy yoyote itakayojitokeza. Pia wanawake wanakawaida ya kushare mambo yao na wenzao na hupeana ushauri. Wanaume huwa hawashare mambo yao hasa kama wanapita kipindi kigumu. Huwa wanajifanya mambo ni mazuri tu kwa wenzao. Kumbe kunateketea.
 
Habar humu ndani. Kama swali linavojieleza, napenda kujua kuhusu vifo vya wanaume. Mifano ni mingi nimeshuhidia wajane wengi waliofiwa na waume zao kuliko wanaume waliofiw na wake zao hasa wale walio anza nao maisha. Baba mzaz amefarik mama yupo, mwalm nyerere hayupo mama maria yupo ninapo ishi wanaume wengi walishatangulia mbele ya haki na wake zao wapo na wanaishi. Embu kama kuna mjuzi hapa achambue kidog pengne kuna sabab nikaweza kuepuka kumuacha mke Wang kw kifo ambacho pengne kinaepukika.


Sent using Jamii Forums mobile app
Shahawa tunazotoa kuwanyunyizia wanawake tunapunguza umri wa kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Violence. Booze. Tobacco. Pussy. Reckless risk taking. To sum it up: testosterone.
 
Hili swala simple sana wanaume ndo kichwa cha familia anachakalika sana kitafuta ili familia iishi vizur mwanamke ni kutafutiwa tu katulia home.
Mwanaume muda wa kupumzika ni kidogo sana mwanamke unampa stress mmeo za kutosha anapta presha anakufa
Ngoma ipo hapa sasa kumuua mmeo ili urithi mali angalia familia ambazo bba kafariki ni zile zenye uwezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliwaza juu ya hilo pia nikagundua kuwa miaka wanayoish hawa wajane mpaka kufa kwao ni miaka mingi ukilngnisha na umri wa waume zao walipfark. Samahan kama ntakosea kw mfano huu. Tangu afarik mwlm nyerere ni miaka 20 je mama Maria alizidiwa kw miaka 20 na mwlm na still anaish

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana sana tu,mfano nimemzidi wife 10 yrs kiasi uwezekano wa mimi kutangulia kufa ni mkubwa japo kifo hakichagui umri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar humu ndani. Kama swali linavojieleza, napenda kujua kuhusu vifo vya wanaume. Mifano ni mingi nimeshuhidia wajane wengi waliofiwa na waume zao kuliko wanaume waliofiw na wake zao hasa wale walio anza nao maisha. Baba mzaz amefarik mama yupo, mwalm nyerere hayupo mama maria yupo ninapo ishi wanaume wengi walishatangulia mbele ya haki na wake zao wapo na wanaishi. Embu kama kuna mjuzi hapa achambue kidog pengne kuna sabab nikaweza kuepuka kumuacha mke Wang kw kifo ambacho pengne kinaepukika.


Sent using Jamii Forums mobile app

Mara nyingi wanaume wenye umri mkubwa huwa wanaoa wanawake wenye umri mdogo.....Hiyo ndio sababu kubwa
 
Wanaume ni dhaifu sana mbele ya mwanamke kwa kila kitu!
Angalia hata humu JF madem wakicoment hata ujinga tu basi wanaume wanalike sana na kuquote hyo comment!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ziko sababu nyingi, ambazo zimegawanyika katika
1). maumbile, mwanamke akipata shida ni mwepesi kulia na kutoa uchungu moyoni ila mwanaume atakaza tu hata kusema kwa yeyote hataki.
2). muundo wa maisha, shida zooote za mwanamke ni za mwanaume ila shida za mwanaume ni za mwanaume pekeake. pesa zoote za mwanamke ni zake ila za mwanaume ndio za familia au ni za mwanamke.
3). maradhi, mwanamke ni mwepesi kwenda hospitali tatizo kidogo mwilini ila mwanaume akienda hospitali baaasi lolote laweza kutokea.

hizo ni baadhi tu ya mambo yanayofanya miaka ya mwanaume kupungua kwa kasi .
. Mwanaume ndie punda wa nyumbani, ni rahisi kufa akiwa kazini, safarini nk. Ki asili mwanamke hukaa nyumba, vifo kwa ajali kwake ni nadra.
 
8. KUMWAGA
Wanaume ndiyo wanaomwaga zaidi ya wanawake
 
Back
Top Bottom