Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Wadau naomba mtambue kwamba 90% sisi wanaume tunakufa mapema baadae wanawake wanafutuata.

Sababu za kufa mapema ni nyingi sana ikiwemo msongo wa mawazo kutokana na majukumu mengi.

Kama mfuatilia mzuri wa habari mwaka huu viongozi na wafanyabiashara maarufu wamefariki ila wameacha wajane.

Nashauri pesa tunazopata tutumie kwelikweli tule bata tuache kujinyimanyima,mwisho wa Siku unakufa unawaacha vibenteni wanahongwa pesa zako.
 
Hao wamejitakia...

Mtu una miaka45 unaoa mwanamke wa miaka 20 unategemea nani atawai kufa??

Wanaume wengi tunao wanawake tuliowazidi umri miaka 5 hadi 10.. Unategemea nani atawai kufa kwa kifo cha kawaida???
 
Aaaaah aaaaah kumbe shida ni umri?
 
Ni mapenzi ya Mungu, hakuna anayejua siku wala saa na zaidi miaka atakayoishi, sio mwanaume wala mwanamke! Tuwe tayari kila wakati!
 
umenikumbusha mkuu majuzi nikiwa natazama maziko ya late dr.reginald mengi,wamama wawili wanaulizana bwana ako akifa utamwekea taji la "my love" kama jacky alilomwekea mumewe?,nkawauliza je ukiwahi kufa wewe wakacheka,,,,nkajifunza asilimia kubwa mwanamke anajua bwana lazma afe amwache
 
Kupata msongo wa mawazo kisa mwanamke ni kujitakia tu.

Uache kupata stress kwa hali mbaya ya Team ya Yanga uje usumbuliwe na wanawake. Wewe ni taahira
 
Msongo siyo sababu ya Msingi.Hebu fanya utafiti mdogo wa umri Kati ya wake na waume. Wengi wetu tunaoa wanawake tunaowazidi umri kwa zaidi ya miaka 10. Sasa kibaiolojia hapo nani anakufa mapema?
 
Back
Top Bottom