Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Hilo ni kweli be mbwembwe.
Ulichosahau ukirud nyumban umechoka na bado unafanya kaz nyingine ngumu sana ukiamka asubuh umechoka Mara dufu.
 
Huyu jamaa ameongea ukweli 102%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Umenikosha mkuu na wanaume tuzingatie point yako ya mwisho tujiwekezee wake zetu tukishafika miaka 60 ndio wanatumaliza kiulaini Sana wakishirikiana na wayoto
hapo wanakuwa busy na watoto wao....! lazima ufe...hela anatumiwa mama...tu. simu mpe baba nimsalimie kdg..
 
Ramark,
Mkuu sisi wote ni wanaume ila unatetea upuuzi, kama mafao yake ni yake hata akiyatumia kuhonga, kwa nini awe mlalamishi kwa watoto ambao hakuwathamini kipindi akiwa na mali?
Mwamba kitu Cha mzee kuseweka mbegu zake tu hicho ni kitu kikubwa Sana hutopoteza kitu kumsaidia kama uwezo unao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…