Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

CHAI CHUNGU mm nilidhani ni story zinakuja
Suala la Wanaume kutangulia ni bado mfumo Dume toka enzi za dahari kwani hata kina Mose alipofiwa na Sara aliongeza mwingine
Kinamama wanatangulia sana na hawatangazwi bali Mume huweka mbadala hata Baba yako angeweka wa pili mngemuita wa kambo
Samora Michel wa Msumbiji hakuanza na Graca Michel / Mandela kwani alikuwepo wa mwanzo aliyekufa na kuzikwa Dsm TZ
 
Mkuu ebu fanya uchunguzi mtaani kwako kisha uje tena.
Maana hii kitu mie nimeifanyia uchunguzi wa kina.
 

Wanawake kwa namna moja ama nyingine wanachangia kufupisha maisha yetu! Stress; nagging zisizoisha, etc. Ukiyajumlisha yoote haya=kufa na kuwaacha wanadunda tuu!
 
Wanawake kwa namna moja ama nyingine wanachangia kufupisha maisha yetu! Stress; nagging zisizoisha, etc. Ukiyajumlisha yoote haya=kufa na kuwaacha wanadunda tuu!
Wazo lako plz!!
Nini kifanyike ili twende sawa?
 
Ni kweli kabisa urafiti wako
Kwa mie ninao wafahamu ni dhaidi ya kumi wameacha wajane ...sijui ni nini?
 
Ni kweli kabisa urafiti wako
Kwa mie ninao wafahamu ni dhaidi ya kumi wameacha wajane ...sijui ni nini?
Mwenzio hapo juu anasema eti sababu tunatamaa nyingi za kufunua 'sketi'
Sina hakika juu ya hili lakini mie ninachoamini ni stress za maisha ambazo ninyi wanawake ndio chanzo!
Vp usafiri na boss wako kwenda uk eti kikazi?huoni kama huko mbele baada ya kazi ni full migegedo?
 
Kama inachangia basi ni kwa 0.15.
Maana mie nadhani hizo sketi na vimini ndivyo vinavyotupunguzia stress!

wewe wasema,ila ukishaona na ukatamani,kinafwata kitu gani?hiyo kitu ukizidisha lazima umri wa kuishiupungue tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…