princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Ni kweli hajaongea uwongo.
Ila kikubwa ni kumpata mwenye upendo na wa kufanana nae, mwenye kuridhika na wewe.
Uzinzi sio jambo jema!Waliosema msizini kabla ya ndoa walikua wanaepusha haya.