Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Kwa msisitizo. Msafirishe mkeo akae kwao kwa miezi 3 siku utakayomfuata Ubungo mdude ataanza kusimama palepale stand, haijalishi ulikuwa unapiga puli au unachepuka kila siku. Au usiku upige bao tatu asubuhi wife aende church nyuma beki 3 avae kanga moko akaoge kwa bahati nzuri upepo ufunue kanga yake!
Hapa umeniacha nanja aisee
 
ULISHAJIBIWA NA MADAKTARI, SASA UNATAKA SISI TUSEMEJE MKUU?
 
Natumain nyote hamjambo!

Nilikuwa ofsini asubuhi saa mbili ile tulikuwa tunapiga story na wafanyakazi wenzangu kama wawili wa kike na sisi me tupo wawili.

Tulikuwa tunapiga story za hapa na pale kuhusu mapenzi, mahusiano na ndoa, tuliongelea pia masuala ya size za mashine za wanaume..

Kwa kweli tumeongea mengi niliyokuwa najua, ila kuna jambo ambalo dada mmoja ameliongea, kwa kweli sikulijua. Umri wake ni kama miaka arobaini na kitu, ana watoto watatu mumewe alishafariki. Huyu mama akasema..
Nanukuu.

"Nilipokuwa binti nilikuwa naridhishwa na size ndogo hata kibamia, lakini kwa umri wangu sasa napenda size kubwa"akaongeza"kwa kuwa mpaka sasa nimeshatembea na size tofauti tofauti"

Alipomaliza kusema akaondoka akaenda kwenye majukumu yake,..tukachekaa!...(huyu dada tangu nimeanza kufanya nae kazi hapindishagi mambo, huwa ni muwazi hata ukimuudhi anakwambia au jambo lolote anaposikia iwe la kinafki au lah! Anakwambia pia ameishi na wazungu) so mi naamini alichoongea ni ukweli wake.

Dada mwingine aliyebaki akaongezea(huyu dada umri wake ni kama 30 kasoro ameolewa na mtoto mmoja wa kama mwaka 1) akasema

Nanukuu..
"Mwenzangu anachoongea ni kweli kwani yeye ameshakuwa, ameshakutana na size tofauti tofauti sasa ikitokea ukamrudisha kwa mwanaume mwenye maumbile madogo kwake ataona tu unamchosha pia tayari ana watoto watatu maumbile yake yametanuka kwa hiyo ni kweli" akaongeza "pia binti yoyote akiwa mdogo kama alianza kuzoea mapenzi na size ndogo, ndio hiyo itakayokuwa inamridhisha, akikutana na kubwa lazima itamkera, hatoinjoy lakini akiendelea kukutana nazo hizo hizo hata kwa kubadilisha wanaume atajikuta anaanza kuridhika na size kubwa, mfano mimi kabla sijatoa bikra nilikuwa nautizama mswaki tu ulivyo mwembamba, naona ni ngumu kupenya kwenye kitundu changu, je hiyo ya mwanaume ninayoisikia itakuwaje lakini nilipokuja kujaribu niliumwa na nilizoea."
Swali langu wakubwa ni

1. Je, huenda kuna ukweli wa kauli hizi kwa kuwa wao ndio wameongea au la!!? Na
2. Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience ( wenye watoto hasa ambao hawajaolewa) maana walishakutana na size tofauti tofauti kwa hivyo hawatawaridhisha ama vip? pls hebu tushare ideas & experiences.

Uzi tayari..
Sasa we mwanaume unawaza mashine kubwa ili iweje
 
Sasa we mwanaume unawaza mashine kubwa ili iweje
Huyo jamaa ana tatizo hilo ameona atunge story na kuwasingizia wamama/wadada wa watu kuinogesha story yake.
Screenshot_2020-12-03-16-14-05-1.jpg
 
Watu mnasoma nyuzi za MMU halafu mnamsonga mtoa mada mbona ni issue ya kawaida sana aliyoisema na inahusiana na jukwaa
Anyway huwez kuwafurahisha watu wote
 
😂😂😂😂😂 comments.
 
Nataka mthibitishe kwa t.b.s😄
hakuna mashine ndogo, km mtoto wa kilo 3 na kuendelea anapita sasa wao wataridhika na udshelele la kilo moja? km mikoni iliyotangulizwa na viganja viwili inapita hawaridhiki utawaaminije
Dogo ukikua utaacha na hata akitoka mwache aende, sehemu iliyo ajili ya kwa stimulation haizidi inch 3 hata kibamia au yeye mwenyewe akiMusterbution atafika mshindo huko pangoni hapahusiki kabisa
 
Back
Top Bottom