Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Ivi inakuaje unamfatilia mtu alivyokuwa anandika kipindi cha nyuma au alikuwa anakutaka ukaona umchunguze ili uone anafaa au hafai kuwa nawe
Ndio. Nimeona anafaa. Na wewe nimekuchunguza, kumbe unafaa!!
 
"Tuliongelea pia masuala ya size za mashine za wanaume"


Nimemeza Homadex baada ya kusoma sentensi hii[emoji34][emoji34]
 
Natumain nyote hamjambo!

Nilikuwa ofsini asubuhi saa mbili ile tulikuwa tunapiga story na wafanyakazi wenzangu kama wawili wa kike na sisi me tupo wawili.

Tulikuwa tunapiga story za hapa na pale kuhusu mapenzi, mahusiano na ndoa, tuliongelea pia masuala ya size za mashine za wanaume..

Kwa kweli tumeongea mengi niliyokuwa najua, ila kuna jambo ambalo dada mmoja ameliongea, kwa kweli sikulijua. Umri wake ni kama miaka arobaini na kitu, ana watoto watatu mumewe alishafariki. Huyu mama akasema..
Nanukuu.

"Nilipokuwa binti nilikuwa naridhishwa na size ndogo hata kibamia, lakini kwa umri wangu sasa napenda size kubwa"akaongeza"kwa kuwa mpaka sasa nimeshatembea na size tofauti tofauti"

Alipomaliza kusema akaondoka akaenda kwenye majukumu yake,..tukachekaa!...(huyu dada tangu nimeanza kufanya nae kazi hapindishagi mambo, huwa ni muwazi hata ukimuudhi anakwambia au jambo lolote anaposikia iwe la kinafki au lah! Anakwambia pia ameishi na wazungu) so mi naamini alichoongea ni ukweli wake.

Dada mwingine aliyebaki akaongezea(huyu dada umri wake ni kama 30 kasoro ameolewa na mtoto mmoja wa kama mwaka 1) akasema

Nanukuu..
"Mwenzangu anachoongea ni kweli kwani yeye ameshakuwa, ameshakutana na size tofauti tofauti sasa ikitokea ukamrudisha kwa mwanaume mwenye maumbile madogo kwake ataona tu unamchosha pia tayari ana watoto watatu maumbile yake yametanuka kwa hiyo ni kweli" akaongeza "pia binti yoyote akiwa mdogo kama alianza kuzoea mapenzi na size ndogo, ndio hiyo itakayokuwa inamridhisha, akikutana na kubwa lazima itamkera, hatoinjoy lakini akiendelea kukutana nazo hizo hizo hata kwa kubadilisha wanaume atajikuta anaanza kuridhika na size kubwa, mfano mimi kabla sijatoa bikra nilikuwa nautizama mswaki tu ulivyo mwembamba, naona ni ngumu kupenya kwenye kitundu changu, je hiyo ya mwanaume ninayoisikia itakuwaje lakini nilipokuja kujaribu niliumwa na nilizoea."
Swali langu wakubwa ni

1. Je, huenda kuna ukweli wa kauli hizi kwa kuwa wao ndio wameongea au la!!? Na
2. Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience ( wenye watoto hasa ambao hawajaolewa) maana walishakutana na size tofauti tofauti kwa hivyo hawatawaridhisha ama vip? pls hebu tushare ideas & experiences.

Uzi tayari..
Nawashauri hao wanawake wapake ndimu na shabu ili kurudisha maumbile yawe "KINANDA".
 
Naona kuna watu wamepotea njia sijui hawaja soma bango kuwa hiki ni chumba cha mapenzi , mahusiano ? ...wanajifanya wapo serious na maisha au reseption hakuna mtu???
 
Naona kuna watu wamepotea njia sijui hawaja soma bango kuwa hiki ni chumba cha mapenzi , mahusiano ? ...wanajifanya wapo serious na maisha au reseption hakuna mtu???
Hapo sasa!
 
Mkuu, ebu naomba namba za huyo mjane tafadhali...😋😋
 
Member mmoja humu aliwahi kuongelea suala la hisia.
Mapenzi ni hisia, kama hupendwi kibamia chako au mwogo wako hautampa furaha mwenzi wako.
 
Kumbee! Nakuelewa kwa hilo.
Kwa msisitizo. Msafirishe mkeo akae kwao kwa miezi 3 siku utakayomfuata Ubungo mdude ataanza kusimama palepale stand, haijalishi ulikuwa unapiga puli au unachepuka kila siku. Au usiku upige bao tatu asubuhi wife aende church nyuma beki 3 avae kanga moko akaoge kwa bahati nzuri upepo ufunue kanga yake!
 
Back
Top Bottom