Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Watu mnasoma nyuzi za MMU halafu mnamsonga mtoa mada mbona ni issue ya kawaida sana aliyoisema na inahusiana na jukwaa
Anyway huwez kuwafurahisha watu wote
Asante kwa maneno yako ya kupendeza mkuu.
 
hakuna mashine ndogo, km mtoto wa kilo 3 na kuendelea anapita sasa wao wataridhika na udshelele la kilo moja? km mikoni iliyotangulizwa na viganja viwili inapita hawaridhiki utawaaminije
Dogo ukikua utaacha na hata akitoka mwache aende, sehemu iliyo ajili ya kwa stimulation haizidi inch 3 hata kibamia au yeye mwenyewe akiMusterbution atafika mshindo huko pangoni hapahusiki kabisa
Mawazo ya kutia moyo,asante
 
Hahahah
Asante Don Clericuzio wangu,salamu zako nimezipata

Kile kilichotokea nilihisi kitakuwa kilivyokuwa,nilikuwa na zero expectations....kitu ambacho kimenipunguzia maumivu

Vizuri sana Joanah wangu, kuna mida najikuta natamani mfanye vizuri ili tu usiteseke, ila sasa hali ndo iko hivyo.

Kosa la kumwacha Fred ndani linamfukuzisha kazi Sosha.
 
HIZI NDIO FIKRA ZILIZOTAWALA AKILI ZA VIJANA WENGI WA SASA.....NI FIKRA AMBAZO ZIMEZUIA NA KUZIMA UWEZO WAO WA AKILI KUWAZA MAMBO MENGINE YENYE TIJA KWENYE MAISHA YAO.........WAKITOKA KWENYE FIKRA HIZI WANAHAMIA KWENYE LAWAMA NA KUWALAUMU WENGINE JUU YA MAHANGAIKO YAO YALIYOSABABISHWA NA AKILI ZAO KUEGAMIA KWENYE MAMBO YASIYO NA TIJA KWAO..........

NB;
MTU ISIPOMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE.......
Bro muda wotee uwaze hivyo..!!!
There is always a time for other stuffs.
Yaani muda wotee niwaze kutafuta pesa na kufanya hivyo usemavyo.

#YNWA
 
Mawazo ya kutia moyo,asante
Kijana acha stress, kujua mwanamke anataka nini ni kazi,akili zao hua ziko chini ya kitovu.
Wao kwa wao wanasagana na ikikolea hawataki hata kumsikia mwanaume mpaka wanaoana..
Mi mautundu yako hawanaga ujanja hawa viumbe.

We ondoa hofu jiamini,wapasue ukiwa na confidence.
 
Back
Top Bottom