Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Je, wanaume wenye maumbile madogo mnawapa ushauri wasiwatongoze wenye experience (wenye watoto hasa ambao hawajaolewa)?

Hivi yule Matunge herbalist kapotelea wapi?
Ngoka eleven imepotelea wapi?
Ntuzu nayo imepotelea wapi?
Maana kwa hili bandiko lako, inaonesha wazi zinapendwa kubwa!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Ni kweli,maana kadri demu anapotembea na wanaume wengi, saizi za kati na vibamia vinakosa soko!
 
Imebidi nikaangalie thread ulizowahi kuanzisha. Na sikukosea. Thread zako zote zipo kwenye sekta ya Mahusiano. We jamaa lazima una tatizo la akili au bado mtoto mdogo sana.
Ivi inakuaje unamfatilia mtu alivyokuwa anandika kipindi cha nyuma au alikuwa anakutaka ukaona umchunguze ili uone anafaa au hafai kuwa nawe
 
Ivi inakuaje unamfatilia mtu alivyokuwa anandika kipindi cha nyuma au alikuwa anakutaka ukaona umchunguze ili uone anafaa au hafai kuwa nawe
Muache tu coz uhuru ndio unanuwezesha kufanya lolote atakalo.
 
HIZI NDIO FIKRA ZILIZOTAWALA AKILI ZA VIJANA WENGI WA SASA.....NI FIKRA AMBAZO ZIMEZUIA NA KUZIMA UWEZO WAO WA AKILI KUWAZA MAMBO MENGINE YENYE TIJA KWENYE MAISHA YAO.........WAKITOKA KWENYE FIKRA HIZI WANAHAMIA KWENYE LAWAMA NA KUWALAUMU WENGINE JUU YA MAHANGAIKO YAO YALIYOSABABISHWA NA AKILI ZAO KUEGAMIA KWENYE MAMBO YASIYO NA TIJA KWAO..........

NB;
MTU ISIPOMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE.......
CCM oyeee[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom