Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Ukioa utafuta kauli, kuchapiwa kunauma
Mwanamke ni mtu ambaye anaishi kwa akili yake binafsi. Na hakuna mwanamke asiye chepuka katika hii Dunia. Kwenye familia huwa tunaomba tu amani iwepo hayo mengine Kuyasimamia ni ngumu sana.
 
Kwa sababu unamjua Mungu ndo maana una hekima hii na kuwaepuka ma ex maana ndio uongoza kwa kuvunja ndoa
 
πŸ˜‹πŸ˜‹, mhhm kuna walakini,
Kikubwa sana ni kufunga na kuomba kuitafuta Amani ya moyoni na mengine yafuate.

Hakuna walakini ndugu huo ni uhalisia lakini huwa inatokea kwa watu wachache tu.mwanamke kwa kiasi fulani ukiwa unajimudu sio mbaya unaweza kwenda kutuliza mahali tulivu😊kujipooza machungu..😁😁ukiwa sasa ndio ulikuwa unamtegemea kwa kila kitu🀣🀣hutaki kwenye huo uzio.

Lakini pia huwa inatokea pale ulipoachana na ex wako ukampata mtu mwingine sahihi,mkali zaidi ya Ex πŸ˜…πŸ˜…anamawe zaidi ya ExπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈchaeeee.

Hofu ya Mungu ni kitu kikubwa sana na ukiwa nao kuna mambo hutoweza kufanya.Hallelujah πŸ’ƒ
 
Mwanamke ni mtu ambaye anaishi kwa akili yake binafsi. Na hakuna mwanamke asiye chepuka katika hii Dunia. Kwenye familia huwa tunaomba tu amani iwepo hayo mengine Kuyasimamia ni ngumu sana.
Na hakuna mwanaume asiyechepuka fulustopu
 
β€’ Correct, imani ni zuri zaidi kuomba kile unacho taka kisitokee kwa upande wako, ingawa kuna mitihani kadhaa hata uombe namna gani, Lazima utakumbana nayo tu.


😁😁Naam, hela kuwa nazo ni muhimu sana, Maana utakula unachokitaka, na utaogelea unapotaka ( pesa ilivunja mlima)

Lakini pia huwa inatokea pale ulipoachana na ex wako ukampata mtu mwingine sahihi,mkali zaidi ya Ex πŸ˜…πŸ˜…anamawe zaidi ya ExπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈchaeeee
Wanaume wa design hii hawapo hapa duniani, labda [ pesa anazo ila ni pre- ejaculation au Pesa hana ila ana strong dick ].

Hallelujah πŸ’ƒ
Hallelujaj Tutaonana.......
 
🀣🀣🀣kichwa chako muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…