Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #441
Mwanamke ni mtu ambaye anaishi kwa akili yake binafsi. Na hakuna mwanamke asiye chepuka katika hii Dunia. Kwenye familia huwa tunaomba tu amani iwepo hayo mengine Kuyasimamia ni ngumu sana.Ukioa utafuta kauli, kuchapiwa kunauma