Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Ukioa utafuta kauli, kuchapiwa kunauma
Mwanamke ni mtu ambaye anaishi kwa akili yake binafsi. Na hakuna mwanamke asiye chepuka katika hii Dunia. Kwenye familia huwa tunaomba tu amani iwepo hayo mengine Kuyasimamia ni ngumu sana.
 
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake kwa sasa na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Kwa sababu unamjua Mungu ndo maana una hekima hii na kuwaepuka ma ex maana ndio uongoza kwa kuvunja ndoa
 
😋😋, mhhm kuna walakini,
Kikubwa sana ni kufunga na kuomba kuitafuta Amani ya moyoni na mengine yafuate.

Hakuna walakini ndugu huo ni uhalisia lakini huwa inatokea kwa watu wachache tu.mwanamke kwa kiasi fulani ukiwa unajimudu sio mbaya unaweza kwenda kutuliza mahali tulivu😊kujipooza machungu..😁😁ukiwa sasa ndio ulikuwa unamtegemea kwa kila kitu🤣🤣hutaki kwenye huo uzio.

Lakini pia huwa inatokea pale ulipoachana na ex wako ukampata mtu mwingine sahihi,mkali zaidi ya Ex 😅😅anamawe zaidi ya Ex🤸‍♀️🤸‍♀️chaeeee.

Hofu ya Mungu ni kitu kikubwa sana na ukiwa nao kuna mambo hutoweza kufanya.Hallelujah 💃
 
Mwanamke ni mtu ambaye anaishi kwa akili yake binafsi. Na hakuna mwanamke asiye chepuka katika hii Dunia. Kwenye familia huwa tunaomba tu amani iwepo hayo mengine Kuyasimamia ni ngumu sana.
Na hakuna mwanaume asiyechepuka fulustopu
 
Kikubwa sana ni kufunga na kuomba kuitafuta Amani ya moyoni na mengine yafuate.

Hakuna walakini ndugu huo ni uhalisia lakini huwa inatokea kwa watu wachache tu.mwanamke kwa kiasi fulani ukiwa unajimudu sio mbaya unaweza kwenda kutuliza mahali tulivu😊kujipooza machungu..😁😁ukiwa sasa ndio ulikuwa unamtegemea kwa kila kitu🤣🤣hutaki kwenye huo uzio.

Lakini pia huwa inatokea pale ulipoachana na ex wako ukampata mtu mwingine sahihi,mkali zaidi ya Ex 😅😅anamawe zaidi ya Ex🤸‍♀️🤸‍♀️chaeeee.

Hofu ya Mungu ni kitu kikubwa sana na ukiwa nao kuna mambo hutoweza kufanya.Hallelujah 💃
• Correct, imani ni zuri zaidi kuomba kile unacho taka kisitokee kwa upande wako, ingawa kuna mitihani kadhaa hata uombe namna gani, Lazima utakumbana nayo tu.

Hakuna walakini ndugu huo ni uhalisia lakini huwa inatokea kwa watu wachache tu.mwanamke kwa kiasi fulani ukiwa unajimudu sio mbaya unaweza kwenda kutuliza mahali tulivu😊kujipooza machungu..😁😁ukiwa sasa ndio ulikuwa unamtegemea kwa kila kitu🤣🤣hutaki kwenye huo uzio
😁😁Naam, hela kuwa nazo ni muhimu sana, Maana utakula unachokitaka, na utaogelea unapotaka ( pesa ilivunja mlima)

Lakini pia huwa inatokea pale ulipoachana na ex wako ukampata mtu mwingine sahihi,mkali zaidi ya Ex 😅😅anamawe zaidi ya Ex🤸‍♀️🤸‍♀️chaeeee
Wanaume wa design hii hawapo hapa duniani, labda [ pesa anazo ila ni pre- ejaculation au Pesa hana ila ana strong dick ].

Hallelujah 💃
Hallelujaj Tutaonana.......
 
• Correct, imani ni zuri zaidi kuomba kile unacho taka kisitokee kwa upande wako, ingawa kuna mitihani kadhaa hata uombe namna gani, Lazima utakumbana nayo tu.

😁😁Naam, hela kuwa nazo ni muhimu sana, Maana utakula unachokitaka, na utaogelea unapotaka ( pesa ilivunja mlima)

Wanaume wa design hii hawapo hapa duniani, labda [ pesa anazo ila ni pre- ejaculation au Pesa hana ila ana strong dick ].

Hallelujaj Tutaonana.......
🤣🤣🤣kichwa chako muone
 
Back
Top Bottom